Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Issue Ya Simu Ni Marufuku, CCP bado simu wanakaza sana....

Depo iliyopita J4 MweI mmoja kabla kuna miamba wawili mmoja alikutwa na simu anaongea nayo Bwenini akafukuzwa pia mwingine alikutwa na Betri ya simu akafukuzwa...

CCP Ukikamatwa na simu unakaa ndani kituoni wiki au zaidi ndo baadae unafukuzwa mbele ya wenzako wote...

Ukiwa na uhitaji wa simu unamuona OC Kombania au Afande yoyote wa Kombania kwa msaada zaidi.
Shukrani sana mkuu maelezo yameshiba 🤝🤝
 
Sema mkuu ww ni poti na inaonekana upo apo ccp kama mkufunzi Mercenary2013 😉
 
Du
S

Simu hakuna mzee ila kwa mazingira ya sasa naona kumelegeaa maana recruits wanapata sana simu za magendo....mambo mengi yamebadilika kwenye kozi ya PT kwa hvi sasaa
Duh nashangaaa ,, comments za ki kuruta hapa jukwaaaani ....tena za masuala ya humo ndani ndani afu online duh...
 
Mi naomba kuuliza Kwa upande wa wanawake wananyoa nywele za kichwani au wanaweza ruhusiwa ila Kwa mitindo rafiki
 
Utaratibu mfano mwaka jana kwa mkoa niliopo mimii....tarehe ya kuripoti ilivotoka (kwenye PDF) waliondokea kwa RPC na basi la Polisi la mkoani hapo na wale wa makao makuu ndo hua vivyohivyoo.
Mfano Depo Lililopita Bogi La Kwanza Walikuja Wale Wa Mikoani Toka Kwa RPC Wote Walikuja Na Magari Moja Kwa Moja Toka Mikoa Yao Hadi CCP...

Wale Wa Makao Makuu (Wenye Fani) Waliripoti Makao Makuu Dodoma Kisha Safari Kwenda CCP...

Bogi La Pili Hadi La Tatu Ambao Waliripoti Mwezi Mmoja Baadae Kila Mmoja Aliripoti CCP Kwa Muda Wako Kama Ilivyopangwa Kwa Kuripoti Kwa Wiki Husika Pale CCP...

Mkoani Utakaoripoti Mapema Ndo Askari Wake Watapewa Namba Kubwa (Senior) Pale CCP...
 
Shukrani mkuu 🤝

Mungu atusaidie aisee na mm niwepo kweny pdf nije nikukute apo ccp mkuu Mercenary2013
 
Naomba kuuliza, kua senior kuna faida gani kwa apo ccp na kua junior kuna hasara gan mkuu? Mercenary2013
Mfano Depo Lililopita Bogi La Kwanza Walikuja Wale Wa Mikoani Toka Kwa RPC Wote Walikuja Na Magari Moja Kwa Moja Toka Mikoa Yao Hadi CCP...

Wale Wa Makao Makuu (Wenye Fani) Waliripoti Makao Makuu Dodoma Kisha Safari Kwenda CCP...

Bogi La Pili Hadi La Tatu Ambao Waliripoti Mwezi Mmoja Baadae Kila Mmoja Aliripoti CCP Kwa Muda Wako Kama Ilivyopangwa Kwa Kuripoti Kwa Wiki Husika Pale CCP...

Mkoani Utakaoripoti Mapema Ndo Askari Wake Watapewa Namba Kubwa (Senior) Pale CCP...
 
Anhaa nimekupata mkuu….na ni nini kitakachomtambulisha kua huyu ni senior uko mkoani ili mdogo(junior) ampigie salute?
Salute Ni Hadi Nyota Moja.... Ila Ili upewe heshima ni utofauti wa Namba mnazopewa ambazo zinashonwa au kubandikwa kifuani upande wa kulia

Mfano: H.9999 atamheshimu H.9998 (Kwa PCs) Katika Depo moja siku zote Wanaume PCs watakuwa wakubwa kuliko Wps
 
Anhaa nimekupata mkuu…..heshima ndo ile unakua unabana mikono kwa ukakamavu then unasema jambo afande
Salute Ni Hadi Nyota Moja.... Ila Ili upewe heshima ni utofauti wa Namba mnazopewa ambazo zinashonwa au kubandikwa kifuani upande wa kulia

Mfano: H.9999 atamheshimu H.9998 (Kwa PCs) Katika Depo moja siku zote Wanaume PCs watakuwa wakubwa kuliko Wps
 
Salute Ni Hadi Nyota Moja.... Ila Ili upewe heshima ni utofauti wa Namba mnazopewa ambazo zinashonwa au kubandikwa kifuani upande wa kulia

Mfano: H.9999 atamheshimu H.9998 (Kwa PCs) Katika Depo moja siku zote Wanaume PCs watakuwa wakubwa kuliko Wps
Shukrani mkuu🤝
 
Muone ZCO Mafwele pia Kuna namba zake ktk ukurasa wake wa mtandao X ndugu sativa ameweka
 
Mfano Depo Lililopita Bogi La Kwanza Walikuja Wale Wa Mikoani Toka Kwa RPC Wote Walikuja Na Magari Moja Kwa Moja Toka Mikoa Yao Hadi CCP...

Wale Wa Makao Makuu (Wenye Fani) Waliripoti Makao Makuu Dodoma Kisha Safari Kwenda CCP...

Bogi La Pili Hadi La Tatu Ambao Waliripoti Mwezi Mmoja Baadae Kila Mmoja Aliripoti CCP Kwa Muda Wako Kama Ilivyopangwa Kwa Kuripoti Kwa Wiki Husika Pale CCP...

Mkoani Utakaoripoti Mapema Ndo Askari Wake Watapewa Namba Kubwa (Senior) Pale CCP...
Naaam uko sahihi kabisa mkubwa🤝🙌
 
Back
Top Bottom