Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Ahaa nakubali mkuu, vipi mafunzo huwa ni miez mingap na kwenye afya wanapima mambo gani hasahasa
Ni miezi 10 tu...inayoambatana na mazoezi ya utayari, vikwazo, masomo ya Sheria za aina zote...

Kwa kifupi askari wanafundishwa taaluma zote...ikiwemo Sheria za barabarani...hivyo askari akitoka depo anaweza kupangiwa kazi yoyote ya uaskari. Askari alie fuzu anaweza kuwa trafiki, customer care, F.F.U N.K

Isipo kuwa C.I.D Hawa kidogo Kuna kaufaulu na aina ya level ya elimu Huwa wanazingatia ili wapewe mafunzo hayo ya u_C.I.D

Kwa muktadha huo Kila askari anaweza kupata mafunzo ya awali ya upelelezi ila wabobezi wa upelelezi wanao Toka depo moja kwa moja Huwa wanapewa mafunzo mengine ya ziada...!

Walio kidhi vigezo vya kuwa C.I.D Huwa na darasa lao maalum.

Ila mafunzo mengine yote ya utimamu, utayari, uzalendo, UTII na vikwazo wanapewa pamoja...!

Hakuna mazoezi magumu ndio maana kozi za POLISI Huwa wanamaliza wote kama walivyo Anza japo idadi ya wahitimu inaweza kupungua kutokana na baadhi ya kuruta kufukuzwa kwa makosa mbali mbali ama wengine kukimbia wenyewe na wachache sana Hupata maradhi ya kawaida ambayo hupelekea wao kufa...!

Ila sio kifo kinacho sababishwa na ugumu wa mazoezi...kozi ya POLISI sio ngumu kiasi Cha kusababisha kifo kama kozi nyinginezo japo na wao pia Wana makomandoo wao...​
 
Acha uongo bhana,ukisema hakuna jambo la polisi usilolifahamu na ww sio polisi utakua unatuongopea
Siwezi kukudanganya uongo sio asili yangu kabisa...! Niulize jambo lolote kuwahusu nikishindwa kukupa mwanga...nitakurudishia chenchi😂😂😂​
 
Hongera sana kaka Idd, umekuwa mtu mwema sana na muwazi. Hakika u mweledi lkn pia mtu muungwana sana. Umetufunulia uhalisia. Tunawataka memba kama wewe, unachokijua unakisema kwa usahihi kusaidia jamii. Mungu akubariki sana.

Mimi binafsi Polisi nawachukia sana tu. Walinifanyia ubabe wa kunirusha kichura kama mita 300 hv mwaka 2001 bila kuwa na kosa lolote. Ilikuwa saa 12.15 jioni eti nikakamatwa kwa uzembe na uzurulaji nikitoka kwenye kibarua changu naenda geto. Hawakutaka kunisikiliza japo walinifahamu hadi nilipoachiliwa saa 5 za usiku baada ya kusaidiwa na wadau. Niliumia sana moyoni hadi leo hii sitaki hata mwanangu awe polisi.
Ila kwa sasa nakutana nao kwenye utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya serikali lkn sitaki niwe na rafiki yeyote ambaye ni polisi.

Mnaoenda kuipata kazi hii nendeni mkawe watu wema, mkatende kwa haki kwa raia wote hasa wale wanyonge. Msiwaumize wenzenu kibabe. Mtabarikiwa.
 
Hongera sana kaka Idd, umekuwa mtu mwema sana na muwazi. Hakika u mweledi lkn pia mtu muungwana sana. Umetufunulia uhalisia. Tunawataka memba kama wewe, unachokijua unakisema kwa usahihi kusaidia jamii. Mungu akubariki sana.

Mimi binafsi Polisi nawachukia sana tu. Walinifanyia ubabe wa kunirusha kichura kama mita 300 hv mwaka 2001 bila kuwa na kosa lolote. Ilikuwa saa 12.15 jioni eti nikakamatwa kwa uzembe na uzurulaji nikitoka kwenye kibarua changu naenda geto. Hawakutaka kujisikiliza japo walinifahamu hadi nilipoachiliwa saa 5 za usiku baada ya kusaidiwa na wadau. Niliumia sana moyoni hadi leo hii sitaki hata mwanangu awe polisi.
Ila kwa sasa nakutana nao kwenye utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya serikali lkn sitaki niwe na rafiki yeyote ambaye ni polisi.

Mnaoenda kuipata kazi hii nendeni mkawe watu wema, mkatende kwa haki kwa raia wote hasa wale wanyonge. Msiwaumize wenzenu kibabe. Mtabarikiwa.
Pengine uliwaletea kaubishi kidogo...saikolojia ya POLISI IPO hivi akikuita itika usijiume ume...akikwambia lala chini lala bila kujiuliza mara 2.

Usimpe maelekezo yoyote kabla hujakubali amri yake...ukiwa kwenye amri yake sasa unaweza kumueleza au kujieleza wewe nani akakuacha uende zako.

POLISI wote Wana msongo wa mawazo kutokana na changamoto za kikazi, kupewa amri nyingi kupita kiasi.

Hivyo akikutana na wewe ukajichanganya kwenye anga zake harafu ukatae anacho kuamrisha lazima ajitutumie😂😂😂​
 
Nani kukudanganya...Kila level ya elimu Ina idadi ya wanao hitajika...!​
Ndioo ni kweli cjakataa lakini Mbona kama unachokiongea ni sawa na mm Tuuu
Kwamba Kila level ya elimu Ina idadi yake lakini hiyo idadi ya wenye degree wanaohitajika ni ndogo ukilinganisha na wale wa level zingine A level na O lever huo ndo ukweli kaka
 
Ni miezi 10 tu...inayoambatana na mazoezi ya utayari, vikwazo, masomo ya Sheria za aina zote...

Kwa kifupi askari wanafundishwa taaluma zote...ikiwemo Sheria za barabarani...hivyo askari akitoka depo anaweza kupangiwa kazi yoyote ya uaskari. Askari alie fuzu anaweza kuwa trafiki, customer care, F.F.U N.K

Isipo kuwa C.I.D Hawa kidogo Kuna kaufaulu na aina ya level ya elimu Huwa wanazingatia ili wapewe mafunzo hayo ya u_C.I.D

Kwa muktadha huo Kila askari anaweza kupata mafunzo ya awali ya upelelezi ila wabobezi wa upelelezi wanao Toka depo moja kwa moja Huwa wanapewa mafunzo mengine ya ziada...!

Walio kidhi vigezo vya kuwa C.I.D Huwa na darasa lao maalum.

Ila mafunzo mengine yote ya utimamu, utayari, uzalendo, UTII na vikwazo wanapewa pamoja...!

Hakuna mazoezi magumu ndio maana kozi za POLISI Huwa wanamaliza wote kama walivyo Anza japo idadi ya wahitimu inaweza kupungua kutokana na baadhi ya kuruta kufukuzwa kwa makosa mbali mbali ama wengine kukimbia wenyewe na wachache sana Hupata maradhi ya kawaida ambayo hupelekea wao kufa...!

Ila sio kifo kinacho sababishwa na ugumu wa mazoezi...kozi ya POLISI sio ngumu kiasi Cha kusababisha kifo kama kozi nyinginezo japo na wao pia Wana makomandoo wao...​
Big up sana kaka🙏

Ila mafunzo ya mwanzo ni mwaka mzima sio miez 10
 
Ndioo ni kweli cjakataa lakini Mbona kama unachokiongea ni sawa na mm Tuuu
Kwamba Kila level ya elimu Ina idadi yake lakini hiyo idadi ya wenye degree wanaohitajika ni ndogo ukilinganisha na wale wa level zingine A level na O lever huo ndo ukweli kaka
Yap sijabisha ila ni vile ulisema kuwa wenye chance ya kupata zaidi ni form 6 na 4...!

Kikubwa muombe Mungu hizo mambo hazina formula​
 
Sidhani labda kama wameongeza...miaka hiyo ilikuwa miezi 10 tu...!​
Kozi ya polisi ni miezi 12 katika semester 3
Sem1 (miezi 3)- masomo ya nje huko wanasoma judo,singe,kwata na silaha
Sem2 (miezi 6)-darasani na hapo ni kitabu cha kufa mtu wanafanya assignment,test na mitihani ya mwisho kwa masomo kama 12+ hv
Sem 3 (miezi 3) hapo ni field na mbinu za medani sifa ni kufungua moyo tu
Mafunzo na kazini kwa polisi zingatia 👇
# Nidhamu,Haki,Weredi na Uadilifu
Msihasahu kumtanguliza mungu kwa kila jambo🙏
 
Na vipi kuhusu porini bro
 
Mungu ani bless niingie depo mwaka huu
 
Back
Top Bottom