Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Imagine umeenda kupangwa kituo ambacho ni daraja C let say mkuu wa kituo ni sergent(V3) ana elimu yake ya form6 na yupo kazin kwa miaka15 alaf we ujifanye kua una degree ya IT alooo alooo lazima akunyooshe tu😂😂
 
Dah kweli ndugu sema mi nawaza hata hichi cha form six nisiende tu usaili watu weng wengine hatuna wakututetea
 
Miaka3 ikiisha we utawasilisha vyet vyako vya degree then utaanza kulamba mshahara wa degree huku ukisubir nafas ya kwenda kupiga koz ya ofsa(yaan nyota moja assistance inspector)
Sawa mkuu
 
Nimuamini nani hapa sasa wajumbe above or bellow 700K??🙄🥱
Mshaara ni below 700k boe nahisi
Ata below 600k
Na polisi asie na cheo anaitwa constebo nimeona mtu anamuita pc seemu apo...
Na maswali ni general kweli kwa elimu ya form four mfano
unaelewa nini kuhusu jeshi la polisi?
nini maana ya ulinzi shirikishi?
unaelewa nini kuhusu polisi jamii?
Vyeo vya polisi?
Mambo yote yapo kwenye website yao pitia pitia kabla ujaenda.
ila wa fani usijidanganye mtiani utabase kwenye fani yako na kama iko practicaly basi na practical utafanya
 
P
Mshaara ni below 700k boe nahisi
Ata below 600k
Na polisi asie na cheo anaitwa constebo nimeona mtu anamuita pc seemu apo...
Na maswali ni general kweli kwa elimu ya form four mfano
unaelewa nini kuhusu jeshi la polisi?
nini maana ya ulinzi shirikishi?
unaelewa nini kuhusu polisi jamii?
ila wa fani usijidanganye mtiani utabase kwenye fani yako na kama iko practicaly basi na practical utafanya
PC kirefu ni police constable mkuu, yaani polisi asie na cheo……kwan nimekosea wap mkuu?
 
watu naona mnachanganya mambo ya mshahara apa
 
Kwa lugha nyepesi ni hivii polisi anaeanza mshahara take home ni 370000-390000
 
Wakuu kama kuna mdau anajua kampuni au anamiliki ofisi inayojihusisha na video production au mambo ya uandaaji wa movie anishike mkono mimi nitafanya kazi bure na nitajigharamia lengo ni kupata ufahamu wa Modern technology ili niongeze na IT nifungue nami kampuni yangu sitohitaji malipo
 
😂😂😂😂 unatuchana
Amna mzee sema ujuaji ukizidi ndio ushamba unapoanza hapo...kitu ukiwa ujui unakausha tu na kama ukitaka kujua bora ukauliza ueleweshwe...
mfano Ry2199 alichokisema hapo juu alivyoelezea ni sahih kama mdau mmoja kuna uzi humu alidadavua hivyo na watu wali_argue sasa hapa watu wanakuja na pingamiz pasipo clarification🚮
 
Of coz mkuu
 
T
Mkuu humu wajuaji wengi sana mtu anakuja anapinga hiyo salary ila anashindwa kuitetea point yake kwel bongo nyoso😂😂
Tatizo watu weng wamekariri mishahara ya zaman ya poilisi na wameshakariri kua polisi wanamishahara midogo sana…sawa mshahara ni mdogo lakin kinachowaokoa ni poshoo
 
Back
Top Bottom