Sawa mkuuKifiche ichochet mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuKifiche ichochet mkuu
Dah kweli ndugu sema mi nawaza hata hichi cha form six nisiende tu usaili watu weng wengine hatuna wakututeteaImagine umeenda kupangwa kituo ambacho ni daraja C let say mkuu wa kituo ni sergent(V3) ana elimu yake ya form6 na yupo kazin kwa miaka15 alaf we ujifanye kua una degree ya IT alooo alooo lazima akunyooshe tu😂😂
Sawa mkuu
Nenda tu mkuu mungu wetu ni nwema kama ipo ipo tuu✍️Dah kweli ndugu sema mi nawaza hata hichi cha form six nisiende tu usaili watu weng wengine hatuna wakututetea
Polis anaeanza iyo ela inafika mkuu na inazid sababu ya poshoNimuamini nani hapa sasa wajumbe above or bellow 700K??🙄🥱
Mshaara ni below 700k boe nahisiNimuamini nani hapa sasa wajumbe above or bellow 700K??🙄🥱
PC kirefu ni police constable mkuu, yaani polisi asie na cheo……kwan nimekosea wap mkuu?Mshaara ni below 700k boe nahisi
Ata below 600k
Na polisi asie na cheo anaitwa constebo nimeona mtu anamuita pc seemu apo...
Na maswali ni general kweli kwa elimu ya form four mfano
unaelewa nini kuhusu jeshi la polisi?
nini maana ya ulinzi shirikishi?
unaelewa nini kuhusu polisi jamii?
ila wa fani usijidanganye mtiani utabase kwenye fani yako na kama iko practicaly basi na practical utafanya
Nichanganulie uo mshahara tuone mkuuP
PC kirefu ni police constable mkuu, yaani polisi asie na cheo……kwan nimekosea wap mkuu?
Alafu nakumbusha kua mwaka jana mwezi july mh rais aliwaongezea kdgo mshaharaKwa lugha nyepesi ni hivii polisi anaeanza mshahara take home ni 370000-390000
Mkuu humu wajuaji wengi sana mtu anakuja anapinga hiyo salary ila anashindwa kuitetea point yake kwel bongo nyoso😂😂Alafu nakumbusha kua mwaka jana mwezi july mh rais aliwaongezea kdgo mshahara
😂😂😂😂 unatuchanaMkuu humu wajuaji wengi sana mtu anakuja anapinga hiyo salary ila anashindwa kuitetea point yake kwel bongo nyoso😂😂
Basi me ndo sikukuelewaP
PC kirefu ni police constable mkuu, yaani polisi asie na cheo……kwan nimekosea wap mkuu?
Amna mzee sema ujuaji ukizidi ndio ushamba unapoanza hapo...kitu ukiwa ujui unakausha tu na kama ukitaka kujua bora ukauliza ueleweshwe...😂😂😂😂 unatuchana
Of coz mkuuAmna mzee sema ujuaji ukizidi ndio ushamba unapoanza hapo...kitu ukiwa ujui unakausha tu na kama ukitaka kujua bora ukauliza ueleweshwe...
mfano Ry2199 alichokisema hapo juu alivyoelezea ni sahih kama mdau mmoja kuna uzi humu alidadavua hivyo na watu wali_argue sasa hapa watu wanakuja na pingamiz pasipo clarification🚮
Tatizo watu weng wamekariri mishahara ya zaman ya poilisi na wameshakariri kua polisi wanamishahara midogo sana…sawa mshahara ni mdogo lakin kinachowaokoa ni poshooMkuu humu wajuaji wengi sana mtu anakuja anapinga hiyo salary ila anashindwa kuitetea point yake kwel bongo nyoso😂😂