Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

Hahaha kuna czn wangu aliwekeza kwenye kilimo cha nyanya,alikopa km laki 7 na 80
Ilikuwa wakivuna tenga litauzwa kwa 4,500
Daah kutahamaki wkt wa mavuno biashara ikuwa hovyo,nyanya kila mahara tenga mia 7
Alijuta na pesa ilikuwa ya mkopo
Uzuri wa nyanya ikipanda bei inapanda kweli..

Ikishuka sasa daaah...

Ila mwambie auze, saiv imepanda sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa hukutilia mkazo, na piah ulifanya haraka kukata tamaa
 
Zina misingi yake, kama tu biashara zingine. Sasa usipoifuata utaona kuna ugumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…