Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri wa nyanya ikipanda bei inapanda kweli..Hahaha kuna czn wangu aliwekeza kwenye kilimo cha nyanya,alikopa km laki 7 na 80
Ilikuwa wakivuna tenga litauzwa kwa 4,500
Daah kutahamaki wkt wa mavuno biashara ikuwa hovyo,nyanya kila mahara tenga mia 7
Alijuta na pesa ilikuwa ya mkopo
Hiyo 10,000 Ni kila siku boss?Biashara inahitaji uvumilivu wa hali ya juu...nilifanya biashara ya maji na juisi jumla jumla....unaingiza mtaji wa 1m faida alfu kumi. nikafungua book shop huko ndio mtaji ukapotea kabisa.
Wafundishe forex mkuu ..waache kulia lia..[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha nasoma huu Uzi nacheka tu
Watu huwa hawa post loss. Yeye anaonyesha profit tu.Wafundishe forex mkuu ..waache kulia lia..[emoji23][emoji23][emoji23]
Waambie Ontario anakunja Kila day $8000+ uko..
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha anapost ma skrini shot ya profit tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi loss huwa sifichiii.Haha anapost ma skrini shot ya profit tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nani yuko tayari kuonesha loss..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ku bett
kama utayauza yote siku hiyo sawa...lakini mara nyingi yanamaliza hata wiki nzima.
Hahahaa hukutilia mkazo, na piah ulifanya haraka kukata tamaaForex
Baada ya kuvutiwa na uzi wa kwanza kabisa. Mzee nikapakua vitabu msuli ile ile mixer YouTube. Nikaanza kupiga practical ya live cent ya 1$ kwa 100$
Hahahah nusu mwaka no development leo nikipata profit ya 5$ kesho nachoma 20$
***** nikapiga chini na nishaisahau
Zina misingi yake, kama tu biashara zingine. Sasa usipoifuata utaona kuna ugumu.Biashara za mtandaoni zimekuwa za pasua kichwa nakumbuka enzi za four corner alliance group, forever living, mara fahari ivestments, mara global alliance,Mara cjui na zingine mnazijua hizi hazijawahi kumuacha mtu salama walikwisha jaribu kufanya kwa miaka ya karibun hapa!!!