Tupeane visa na mikasa ulivyowahi kukutana navyo kwenye pilika za kusaka utajiri

aka niambia ata nipa buree, maana kufika huko ni adhabu tosha.

zaidi ya masaa 3, ila hamna kitu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shetani ni muhuni Kama wahuni wengine, hizo purukushani zote na mbuzi na kuku unaambulia usaa.
Kama ni ule msitu wa Iringa kuna watu majasiri waliwahi kuingia bila madawa yoyote, hakuna chochote kilichofichwa na wajerumani, jamaa walikuwa na kifaa chenye remote sensing, kinacho detect madini, hakuna kitu pale, jamaa wapo hadi leo Wala hakuna mzimu uliwadhuru, hofu mbaya sana.

Kuna afisa misitu aliwaonya kuhusu mizimu mikali ya pale, yeye alibakia nje ya msitu akitetemeka nusura kujikojolea akiamini jamaa wanaenda kufa, waliporudi akataka kuwakimbia anafikiri ni mizimu sio watu wa kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…