DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ili Ku-master lugha inamuhitaji MTU kutumia miaka 15 na kuendelea , hayo mambo ya Ras simba na British utaishia kuzungumza salamu Ila kuwa na ufahamu wa lugha huweziyaani usome kwa muda wa miaka 15, au wewe uwe ndo na umri wa miaka 15? fafanua kidogo?
AstaghfirullahSehemu ya kumptia mtoto elimu bora ya msingi wa maisha yake ya kila siku ni Madrassa, zingine zote ni ziada tu.
ni lugha yeyote au kiingereza tu?Ili Ku-master lugha inamuhitaji MTU kutumia miaka 15 na kuendelea , hayo mambo ya Ras simba na British utaishia kuzungumza salamu Ila kuwa na ufahamu wa lugha huwezi
Mkuu unafahamu wakenya wanapata pesa nyingi kufundisha kiswahili kushinda sisi?Kiingereza kinalipa Sana huwezi kufananisha na kiswahili chetu. Na huwezi kuwa na maarifa Kama kiingereza hujui
Kiingereza tu, lugha zingine Kama kihaya hizo chap Kwa haraka hu.ni lugha yeyote au kiingereza tu?
Kwa kutumia kiingereza kutafuta kaziKiingereza tu, lugha zingine Kama kihaya hizo chap Kwa haraka hu.
kwa nini iwe kiingereza peke yake, ina umaalum gani hiyo lugha ukilinganisha na lugha zingine?Kiingereza tu, lugha zingine Kama kihaya hizo chap Kwa haraka hu.
Mkuu abby Chan’s anaongea lugha nne, ana miaka mingapi?Kujua Kwa ufasaha lazima usome miaka kuanzia 15 years ndo utakaa sawa
Ilim duniya au ilim akhera??Sehemu ya kumptia mtoto elimu bora ya msingi wa maisha yake ya kila siku ni Madrassa, zingine zote ni ziada tu.
Mtoto kufahamu kingereza hakumfanyi awe na akili au ufahamu zaidi.
Ni sawa na kuuliza mbona tunafeli somo la kiswahili na wakati ndiyo lugha tuyaoongea kila muda.
Vivyo hivyo hivyo hata kufahamu kiswahili hakumfanyi mtoto awe na akili.
Isipokuwa unapokuwa unaifahamu lugha ya kufundishia inarahisisha sana kuelewa kinachofundishwa.
Achana na akili/mawazo ya kijimajima, eti uzalendo.
Yaani we mama shukuru upo tanzania kwa hicho kimbelembele chako arabuni ungeshanyongwa.Sehemu ya kumptia mtoto elimu bora ya msingi wa maisha yake ya kila siku ni Madrassa, zingine zote ni ziada tu.
Unayo hoja ya msingi sana, swali la msing jeMasikini tunauziwa kingereza kwa bei ghali tukidanganywa ndo elimu yenyewe hiyo.
Kujua kingereza na huna maarifa yoyote Kichwani kutokana na mfumo mbovu wa elimu hakuwezi kukusaidia chochote.
Mataifa makubwa yaliyofanikiwa kielimu yametumia lugha mama kufundisha watu wao. Sisi tunataka kukumbatia kingereza ili iweje???
Taifa lipi lililoendelea kielimu Kiasi cha kujitegemea kiteknolojia n.k kwa kufundishia lugha ya kigeni ili tulitumie Kama reference?
Tufundishe watu wetu kwa lugha yetu, na kingereza kifundishwe kama lugha.
Upo sawa wabongo wengi wetu English ni tatizo sugukiukweli hizi zinazotumia wabongo zina changamoto maana hata wao lugha ya kiingereza inawapa shida,