Tupia hapa maneno mazuri ya kumwambia umpendae

Nilijoin rasmi 2023, toka 2018 nasoma tu nacheka, nilikuwa siamini kama siku moja nitakuja kureply humu. Kwanza nilijua labda JamiiForums haipo tena duniani
Mimi nilianza kusoma posts za humu toka 2017 nikajoin twende twende tu
 
Alafu zile simu zinaingia hadi facebook, mimi nilikuwa nasoma kwenye tekno T558 ya mzee natumia opera mini, nadownload na zile Jar games kama mission impossible III, gangster 5, splinter cell 4 double agent, Maya, zuma, rambo, MotoGP, real football, nimecheza sana nikiwa std 7 mpaka form two fundi simu aliuza simu yangu nilikuwa naipenda sana 😭
 
Daah mkuu kumbe unazijua hizo java games πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
M Mimi nacheza MpK leo assassins creed games kwenye hii simu
 
Ukishadownload j2me. Loader unaiacha ifanye install then unaingia dedomil. Net unasearch gemu ulitakalo likija basi unadownload screen size ya 240*340 basi ukiwa umewasha data unalinstall kupitia hiyo app mchezo kwishaaa
 
Asee umenikumbusha mbali sana, sema hiyo dedomil ndo naiskia leo, nilizoeaga Waptrick lakini siku hizi inaleta maruerie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…