Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Yupo mkuu anaitwa treyzah wimbo turn away ijapokuwa anazo nyingineeee piaYupo YouTube?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo mkuu anaitwa treyzah wimbo turn away ijapokuwa anazo nyingineeee piaYupo YouTube?
Magemu, pilau, na nyimbo waptrick iliniokoaMimi nilikuwa natumia kudownload miziki na pilau
Aisee anajua sanaYupo mkuu anaitwa treyzah wimbo turn away ijapokuwa anazo nyingineeee pia
Ipo vizuri sanaMimi
Magemu, pilau, na nyimbo waptrick iliniokoa
Baada ya hapo andika game lako afu libofye watakuletea picha na maelezo we shuka mpka kwenye jar bofya hapo itadanload then itakuambia open this file via j2me loader
Ila siku hizi inazingua sanaaa yaaniIpo vizuri sana
Poa ngoja niende nikishindwa nakucheckYes nenda gugo andika dedomil. Net ingia sehemu ya search games
Mkuu afu utanigawia tricks za kwenye PC, bila shaka unajuaMzee wa wire tune 😂😁😁
JaribuPoa ngoja niende nikishindwa nakucheck
Lakini utakuta mdada anamcheat hadi poet kama huyu, watu hawajali hadi feelings za persona.Ohaaaaa,
Kwenye mapenzi kuna vingi vinanogesha ,Mojawapo ni suala la kuambiana maneno matamu.
Huenda yakawa kwa maneno ya kusikika au hata ya kuandikika.
Najua si kila mmoja wetu ni mwepesi wa kutunga na kuyaweka vema maneno matamu yatakayomfurahisha ampendae.
Acha kumuita mume au mke jina la mwanae kila siku utasema attendance ya shuleni.
Siku nyingine tupia vimaneno vilaini vitomuamsha hisia zake mwilini.
Yale yatokupendeza yakopi umtumie wako mwandani.
Haya tufunguke wakuu.
Mimi;
👇👇👇👇
#1
Nashukuru mwandani ,mie kunipenda
Nakiri silioni ,hata moja lilopinda,
Moyoni burudani,kukuona wangu nyonda,
Mipresha pomoni,sihtaji uje enda.
Baki nami wangu honey,Nifurahi Maishani.
Nampa madini akamwambie demu wakeNdugu upo penzni 😃😃😃
😂😁😁Mkuu afu utanigawia tricks za kwenye PC, bila shaka unajua
Ndio aiseeYaani hata sauti pia anayo mkuu
Ngoja na mimi nimtengenezee shairi FaizaFoxy ila sitaki comment za kijinga kwenye shairi langusweery uje useme hapa jamanii babe tena uvae na earphones 👂🎧kabisa 😍😍😜
Ngoja niandike hapa 🎤🎤🎤🎶🎶🎶🎶🎶
You are just beautiful🌷🌸🌹🌼🌻,
When am with you here,
Maheart ♥ feels hopefully,
When i see you here,
To me you are just like milk💃,
I'm gonna protect you like chick 🐣,
Even if they can try to trick,👀
Am not gonna make,
Something named mistake....
So just let them brain-confused,
For your decision to being choosed,
So don't get convinced,
Coz of their wallet-coined.....
I wish i would walk far Away,
So that to find more money,
So as to pay,
To god for bringing you in my way......
I've reached to my end-point,
Soon am gonna put the point,
I've given you compliments,
So just give me excitements ♥ ♥ ,.........
It's your desire, to make future,
It's not Dollar 💵, to put a collar,
On your finger, but am a ginger,
To put it over/on your finger,........
I love you 😍, i need you😘😘,
I penda you darling.
It's me "your half-hearted person"Cassnzoba
Rayns pita hapa Mkuu ila usicopy mbwinuuu mkuu 😂😂😂😂😂😂😂
Habari za asubuhi Amore 😎Akijibu, Niite
Na umri huuu?
Mahangaiko ya Dunia tu hayaa