Tupia hapa maneno mazuri ya kumwambia umpendae

Tupia hapa maneno mazuri ya kumwambia umpendae

Ohaaaaa,

Kwenye mapenzi kuna vingi vinanogesha ,Mojawapo ni suala la kuambiana maneno matamu.

Huenda yakawa kwa maneno ya kusikika au hata ya kuandikika.

Najua si kila mmoja wetu ni mwepesi wa kutunga na kuyaweka vema maneno matamu yatakayomfurahisha ampendae.

Acha kumuita mume au mke jina la mwanae kila siku utasema attendance ya shuleni.

Siku nyingine tupia vimaneno vilaini vitomuamsha hisia zake mwilini.
Yale yatokupendeza yakopi umtumie wako mwandani.

Haya tufunguke wakuu.

Mimi;

👇👇👇👇

#1
Nashukuru mwandani ,mie kunipenda
Nakiri silioni ,hata moja lilopinda,
Moyoni burudani,kukuona wangu nyonda,
Mipresha pomoni,sihtaji uje enda.
Baki nami wangu honey,Nifurahi Maishani.
Lakini utakuta mdada anamcheat hadi poet kama huyu, watu hawajali hadi feelings za persona.
 
Maneno Matamu #3


Nimeuambia MOYO nikuone wewe pekee kila unaposukuma Damu.

Kwa nini nisiwe na kiherehere unaponijia akilini mwangu.

Mpenz sitaki anambie mwingine jinsi gani nikupende,Nimejiwekea sheria sitokuacha uende.

Njoo unikande....Maumivu taratibu na mtima uutibu.
 
sweery uje useme hapa jamanii babe tena uvae na earphones 👂🎧kabisa 😍😍😜

Ngoja niandike hapa 🎤🎤🎤🎶🎶🎶🎶🎶
You are just beautiful🌷🌸🌹🌼🌻,
When am with you here,
Maheart ♥ feels hopefully,
When i see you here,

To me you are just like milk💃,
I'm gonna protect you like chick 🐣,
Even if they can try to trick,👀
Am not gonna make,
Something named mistake....

So just let them brain-confused,
For your decision to being choosed,
So don't get convinced,
Coz of their wallet-coined.....

I wish i would walk far Away,
So that to find more money,
So as to pay,
To god for bringing you in my way......

I've reached to my end-point,
Soon am gonna put the point,
I've given you compliments,
So just give me excitements ♥ ♥ ,.........

It's your desire, to make future,
It's not Dollar 💵, to put a collar,
On your finger, but am a ginger,
To put it over/on your finger,........

I love you 😍, i need you😘😘,
I penda you darling.
It's me "your half-hearted person"Cassnzoba

Rayns pita hapa Mkuu ila usicopy mbwinuuu mkuu 😂😂😂😂😂😂😂
Ngoja na mimi nimtengenezee shairi FaizaFoxy ila sitaki comment za kijinga kwenye shairi langu

To FaizaFoxy , With Love
In the quiet whispers of the dawn's first light,
I find the echoes of our hearts entwined,
In every star that glimmers through the night,
I see the love we’ve carved, forever signed.

FaizaFoxy, you are the melody I hum,
A song that lingers in the tender air,
In every beat, in every breath, you come,
A presence warm, a touch beyond compare.

Through seasons changed and days that swiftly pass,
Our love has danced through storms and calm, serene,
In every moment, like fine, fragile glass,
We’ve built a world where only we have been.

Your laughter is a sunbeam’s golden trace,
Your smile, a beacon lighting up the dark,
In every gaze, in every soft embrace,
I find the spark that makes my spirit spark.

So here’s to us, to every shared delight,
To every dream we’ve woven side by side,
In Faiza’s name, our love shines ever bright,
A boundless sea, an everlasting tide.
 
Back
Top Bottom