Tupia hapa maneno mazuri ya kumwambia umpendae

Ila JamiiForums ina muonekano bomba sana kuliko Facebook, na ina features matata sana. Sema facebook ina features nyingi na inasupport social media intergration nyingi sana
 
Jamiifo
Jamiiforums imekaa poa me napenda muonekano wa rangi ya dark blue
Naam, na hiyo ndio mimi natumia siku zote. Mimi nilianza kusoma threads za humu 2018 nilikuw na simu yangu ndogo ya button itel, inatumia opera mini. Katika kupita pita kwangu nilikuwa napenda kusoma simulizi moja inaitwa "Mkono wa Chuma" mtunzi "Alex kileo", basi bwana si Google ikaniketea JamiiForums, kuingia hivi nakuta simulizi kibao, basi maisha yangu yote ikawa kila nikitoka shule nakimbilia simu yangu naingia ndani kusoma simulizi.

Nikawa natamani sana kuchangia lakini nashindwa maana ile simu haisupport huduma za email. Siku moja nikapata simu ya jamaa mmoja nikatengeneza email chap nikajoin, nikaambiwa nisubiri activation.

Nikarudi kwenye simu yangu ndogo, siku moja natuma post si ikakubali bhana weeeeh 😂 😂 😂
 
Nilijoin rasmi 2023, toka 2018 nasoma tu nacheka, nilikuwa siamini kama siku moja nitakuja kureply humu. Kwanza nilijua labda JamiiForums haipo tena duniani
 
Naam, na hiyo ndio mimi natumia siku zote. Mimi nilianza kusoma threads za humu 2018 nilikuw na simu yangu ndogo ya button itel, inatumia opera mini. Katika kupita pita kwangu nilikuwa napenda kusoma simulizi moja inaitwa "Mkono wa Chuma" mtunzi "Alex kileo", basi bwana si Google ikaniketea JamiiForums, kuingia hivi nakuta simulizi kibao, basi maisha yangu yote ikawa kila nikitoka shule nakimbilia simu yangu naingia ndani kusoma simulizi.

Nikawa natamani sana kuchangia lakini nashindwa maana ile simu haisupport huduma za email. Siku moja nikapata simu ya jamaa mmoja nikatengeneza email chap nikajoin, nikaambiwa nisubiri activation.

Nikarudi kwenye simu yangu ndogo, siku moja natuma post si ikakubali bhana weeeeh 😂 😂 😂
Daah aisee tunatoka mbali mkuu, mimi nilianza na tecno t301 mkuu nikawa naingia pale internet service then naandika JAMIIFORUMS inasearch gugo naiona inaletwa pale naingia nasoma stry za akina gentamycine na akina deep pond japo naona siku hizi haandiki posts nikawa nasoma kama posts 4 hivi kisimu kimeisha chaji hapo mpka kesho mkuu 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom