Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

Jigge akifukuzwa kazi kwa sababu ya hizo adhabu zake za kipuuzi kwa wanafunzi....alisimama juu ya mgongo wa mwanafunzi; picha ilipotoka gazetini akafukuzwa kazi na kutimkia Mwembeni Sec.
Ile adhabu ilikuwa too much mkuu, kumbe unampata vizuri sana.
 
Mwaka gani mkuu?kanifundisha pia,ila baada ya utoto nilimpenda,katufaulisha wengi.
 
Pale Tumaini Dar es Salaam, Department ya Masscom kuna kichaa mmoja anaitwa Mdegela [emoji23][emoji23] huyu jamaa aise ni mnoko Kama mwanamke alieachika na bwana wake.
Jina la kwanza anaitwa nani?
 
Mwl Mshana
Nsoo sec Moshi
Mpare alikua hatari huyu
Kulikua na jina km hili iyunga tech, mwalimu huyu alikua na kisauti chembamba mnoko sn. Alikua anasimamia bustani za mbogamboga alikua anakera sn. Mambo yakugawiwa bustani uwe unaihudumia ilikua km kaa la Moto mbele ya huyu Mr. Mshana
 
Namkumbuka mwl Nyambo alikuwa wa hesabu mwenge primary moshi kuja sec madame Kasanga wa hijra seminary Dom alikuwa mnoko balaa
 
Ntauka tumesoma na mwanae Mtwara girls sekondari, Mtwara.
 

Dah umenikumbusha mbali sana.
Unamkumbuka Mwl Ngwada? Madovena, Ndossi je, Mrs Komba.
Mrs Komba alikuwa anajisikia sana, tukapanga tumfanyie umafia na kundi langu la Kaole..
Usiku unaingia, namuona mjomba angu anatimba cookery room kwake kumbe anakazwa na mjomba wangu.
Mission ikafia pale.
 
Mwalimu mwangonda shule ya msingi yombo vituka, hadi alipofariki tulifurahi sana.
 
Mtindya huyu ticha alikua mnoko sana pale Nyerere Sec
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…