Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

Jigge akifukuzwa kazi kwa sababu ya hizo adhabu zake za kipuuzi kwa wanafunzi....alisimama juu ya mgongo wa mwanafunzi; picha ilipotoka gazetini akafukuzwa kazi na kutimkia Mwembeni Sec.
Ile adhabu ilikuwa too much mkuu, kumbe unampata vizuri sana.
 
SINGE HIGH SCHOOL Babati kuna ticha alikuea anaitwa Njiku the animal a.k.a PANGEA alipewa hilo jina kutokana na kugawanyika meno yake kugawanyika [emoji23][emoji23][emoji23] aiseeh jomba alikuwa anababua asikutie kwenye 18 zake utajuta hajuagi mtu kujitetea aiseeh miaka ile tunasoma aliwai piga mtu mpaka akazimia.
Mwaka gani mkuu?kanifundisha pia,ila baada ya utoto nilimpenda,katufaulisha wengi.
 
Pale Tumaini Dar es Salaam, Department ya Masscom kuna kichaa mmoja anaitwa Mdegela [emoji23][emoji23] huyu jamaa aise ni mnoko Kama mwanamke alieachika na bwana wake.
Jina la kwanza anaitwa nani?
 
Mwl Mshana
Nsoo sec Moshi
Mpare alikua hatari huyu
Kulikua na jina km hili iyunga tech, mwalimu huyu alikua na kisauti chembamba mnoko sn. Alikua anasimamia bustani za mbogamboga alikua anakera sn. Mambo yakugawiwa bustani uwe unaihudumia ilikua km kaa la Moto mbele ya huyu Mr. Mshana
 
Namkumbuka mwl Nyambo alikuwa wa hesabu mwenge primary moshi kuja sec madame Kasanga wa hijra seminary Dom alikuwa mnoko balaa
 
Yaani nimesikitika sana uzi unakaribia kufungwa bila Mwalimu Ntauka wa Ndanda Secondari ya Masasi kutajwa kama mwalimu mnoko kuliko wote kwa kanda ya Lindi na Mtwara, na ambaye pia anastahili kuchukua nafasi za juu sana katika ngazi ya kitaifa kwa unoko, ukuda, na tabia zinazofanana na hizo. Huyu Mwalimu alikuwa Discipline Master na baadaye second master lkn ni kama shule yote ilikuwa mikononi mwake

Yaani ulikuwa ukikamatwa na Ntauka kwa kosa lolote hata la kupiga kelele darasani basi utakuwa maarufu shule nzima kuanzia siku hiyo. Atakuburuza hadi kwenye paredi, na kulisoma jina lako na kukuponda (kukudhalilisha) kwa mbwembe zilizopindukia kisha bakora. Watu mliosoma Ndanda mwishoni mwa miaka ya tisini hadi miaka ya katikati ya elfu mbili mpo mtoe ushuhuda zaidi?
Ntauka tumesoma na mwanae Mtwara girls sekondari, Mtwara.
 
Ebwana Mtwara girl's kuna tisha alikua anaitwa sir maulid second master, alikua ni mnoko shule nzima hakuna. Alafu alikua mtaalam wakukamata simu, yaan akikuta unaongea na cm kwanza anacheka alafu anakuacha umalize maongezi baada ya hapo anakun'ganya huku anacheka, kesho paredi unaenda kuivunja mwenyewe kuna mawe special yameandaliwa kwa ajiri ya kazi hiyo.

Alafu sasa ukidoji prepo anakufata bwenn akikuta unaoga upo uchi unakuchapa hivyo hivyo anawaambia pangen mstari wote mnaoga eneo hilo unachapwa fimbo za mikono mkiwa uchi wengine wanamapovu wengine ndo wanaanza, yaaan ilikua raha kweli.

Alafu tuluchokua tunampendea hajui kununa ni best friend, ila ukimuuzi anakuchapa viboko vya maana huku anakupigisha story, tena olewako usimjibu. Yaan anakuchapa huku anacheka, so mwanafunz huna budi kulia huku unacheka.
SHULE RAHA SNA
MLIOSOMA MTWARA GIRL'S HEMBU NJOON

Dah umenikumbusha mbali sana.
Unamkumbuka Mwl Ngwada? Madovena, Ndossi je, Mrs Komba.
Mrs Komba alikuwa anajisikia sana, tukapanga tumfanyie umafia na kundi langu la Kaole..
Usiku unaingia, namuona mjomba angu anatimba cookery room kwake kumbe anakazwa na mjomba wangu.
Mission ikafia pale.
 
Mwalimu mwangonda shule ya msingi yombo vituka, hadi alipofariki tulifurahi sana.
 
Mtindya huyu ticha alikua mnoko sana pale Nyerere Sec
 
Back
Top Bottom