Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

Hakuna shule yenye walimu wakali kama jitegemee wakikushindwa wanakusakizia wanajeshi ambao ndio kama walezi na wenye shule. Wengi mmeongea lakini hakuna shule inayogusa pale kwa walimu na walezi wakali.
Sahihi kabisa mkuu sijui kama ile nidhamu bado wameidumisha mpaka sasa au la ila enzi zetu ilikuwa noma
 
M mzumbe high school ,kulikuwana mwalimu wibonire, alikuwa mzuri sana kufundisha solo la physics kidato cha tano na sita
 
Alipiga bakora mpaka leo nina kovu lake mkononi aise[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwalimu mmoja enzi za olevel yeye alikua hajui kiingereza ,ukiwa na kesi yoyote ile kwake ukimpiga ngeli atakusamehe,sasa kna siku kaingia class akasema wote tusimame juu,anauliza swali ndo una kaa,akaniuliza hvi "(kataja jina langu) what we learn yesterday ?" Akimaanisha alhamis iliyopita tulijifunza nn ? ,hii ilikua j3 na mara ya mwisho aliingia class alhamis[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha! Huyo mwalimu ilikuwa shiiiida...yaani siku yoyote iliyopita yeye anajua inaitwa YESTERDAY? Kaaaaazi kwelikweli!
 
hapo mwenge huyo donge alikuwa pimbi sana hasa ikiwa zamu yake kumi na moja yupo mabwenini mkakimbie mchakamchaka na kuna f.a.l.a. mwingine alikuwa anajiita horsepower
Donge na wanoko wenzie kina muna,huyo Mr.kayombo a.k.a horsepower alikua na mkwara balaa ila kuna cku alitolewa nishai na "kizibo" alinikoma [emoji16][emoji16][emoji16]
 
mwl donge mwenge high xul,mwl kitoko tarime high xul,mwl malilika korogwe primary xul kahama,mwl doto old shy
Donge ganja zilikua zinampeleka race,kuna mwl.Bernard a.ka nyoronyoro alikua mkuda pia Mr.Ole saitabao a.k.a mtaalam usiombe uingie anga zake (Mwenge Sec)
 
MCHWA MPAKA huyo mwalimu wa NIDHAMU.. .....azania sec school...aisee hyu ALIKUWA ni balaa....ukichelewa tu ASSEMBLY anakuchapa kwnza halafu ndy unamueleza kwann ulichelewa....Tena anakwambiya nikianza kumsikiliza kila mtu sababu zake SITOCHAPA HATA MMOJA.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…