Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Kuna ticha tulikuwa tunamuita vandamme Mr kalumanga huyo bila kumsahau jua kali..sio kwa undava ule dadekiii...eti maisha yale yamepita hahahaaa yalikuwa matam japo magumu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mr. Kiddu Emmanuel...daah au Mr. Mkandawire..hatariiii
Huyu mwalimu ni nyoko aisee.. Sintomsahau kwa mengi maana alikuwa ananifwatilia utafikiri natoka na dada yake.. Tulishaandamana hadi ofisi za mkuu wa mkoa.. Wapi?mkuu huyo morega ni shidaaaaa ndanda boys mbona tulikomaaa....bahati nzuri amehamishiwa pale c tunaingia form6...xo tulienda nae kibishi...!
kwa maoni yangu huyu jamaaa ndo raisi wa walimu wanoko Tanzania
Acha uongo hakuna korogwe primary school ila Kuna manundu PS na boma PSmwl donge mwenge high xul,mwl kitoko tarime high xul,mwl malilika korogwe primary xul kahama,mwl doto old shy
Hahahaa...anakuhesabia hatua za kufyeka uwanja wa mpira...umemsahau mtata Kaaya ana kucompress bila kosaMinaki kulikuwa na Mwalimu anaitwa Mukulu
Kabisa nimemkumbuka alikuwa mshenzi mukuluHahahaa...anakuhesabia hatua za kufyeka uwanja wa mpira...umemsahau mtata Kaaya ana kucompress bila kosa
Unyamaunyama aliitwa MwamfupeSisi tulikuta kila sehemu pale Mazengo pameandikwa "Dudu **#&# (tusi)" Yaani huyu nashukuru Mungu sikumkuta.
Sisi tulimkuta Dungu na Msasa. Msasa akikuta na kosa lolote, una hali mbaya. Ila darasani unaweza kumchezea sharubu kabisa, mhh, mkivuka tu mlango wa darasa, anawewe. Darasani alikuwa Mpole sana.
Dungu akikuta na kosa dogo, umelia. Akikukuta na kosa la kufukuzwa shule, anakusema mbaya tena mbele za Waalimu, ila hakutaji jina na haendi kushtaki ufukuzwe.
Pia Mlokole mmoja anaitwa Mwakyembe, kichaa wa Mahesabu sana ila Mkorofi mno.
Vipi Kinshuli yeye alikuwa poa?Mwanza sec kulikuwa na ki discipline master hicho pambaffff kabisa
kilikuwa kinanikera yani kuwa discipline anajiona kama vile afisa elimu
namchukia hadi kesho alikuwa na unoko wa kifamba sana
anaitwa mkumbo
Hilo jina la Kinunda ni la utani jina halisi alikuwa anaitwa NGWINYAold moshi ticha anaitwa kinunda asee kwanza akiingia tu class unahisi kampuni ya fegi imeungua. Ila yuko deep sana kwenye math.
Huyu alikuwa anagonga french pale old moshi secukisikia KIMBI kimbia maana mziki wake utaucheza bila beat
Umemsahau mwalimu steven yule mlokole alikuwa anafundisha english but 2003 walivyogawa Lugalo na mirambo akaenda miramboMwalimu buchwa na geta kipindi hicho lugalo Primary school