Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

Kuna ticha tulikuwa tunamuita vandamme Mr kalumanga huyo bila kumsahau jua kali..sio kwa undava ule dadekiii...eti maisha yale yamepita hahahaaa yalikuwa matam japo magumu..
 
Wrkwa wale waliosoma Kidodi Secondary wanamjua mwalimu MOKIWA aiseee.
Japo alikuwa mtu wa watu ila ukifanya makosa utajuta
 
mkuu huyo morega ni shidaaaaa ndanda boys mbona tulikomaaa....bahati nzuri amehamishiwa pale c tunaingia form6...xo tulienda nae kibishi...!

kwa maoni yangu huyu jamaaa ndo raisi wa walimu wanoko Tanzania
Huyu mwalimu ni nyoko aisee.. Sintomsahau kwa mengi maana alikuwa ananifwatilia utafikiri natoka na dada yake.. Tulishaandamana hadi ofisi za mkuu wa mkoa.. Wapi?
Enzi hizo mama yake alikuwa mtu mkubwa anamkingia kifua..
Alikuwa mwalimu WA hesabu.. Mkianza form five ana topic zake mbili tatu anazifahamu mojawapo ni calculus. Atawapiga hata miezi miwili huku unasema mwalimu si ndio huyu..ikiisha hiyo topic darasani humuoni tena utamuona ukiwa na masala..
Ila hata shetani ana mazuri yake.. Jamaa na ukatili wake alikuwa mwelewa Sana ukibanwa na misala yaekitaaluma.. Kama si msaada wao walionipatia na headmaster 2006 nadhani nisingetimiza ndoto zangu... Popote alipo nampa shukrani kwa hilo
 
secondary- ticha DOTO BADI alikuwa akinikamata sijachomekea ntaruka kichura..ntapiga push ups..squart...namalizia na mwendo wa bata

mpaka kupanda ngazi za class napanda kama natambaa

chuo- mr clifford gomera huyu jamaa nyoko sana na utu uzima wangu alinipa sifuri alafu akaniita nikafate test yangu mbele ya class sheeenzi sana huyu
 
Kuna jamaa anaitwa Basil anafundisha basic english hapo SAUT ni nouma
 
Sisi tulikuta kila sehemu pale Mazengo pameandikwa "Dudu **#&# (tusi)" Yaani huyu nashukuru Mungu sikumkuta.

Sisi tulimkuta Dungu na Msasa. Msasa akikuta na kosa lolote, una hali mbaya. Ila darasani unaweza kumchezea sharubu kabisa, mhh, mkivuka tu mlango wa darasa, anawewe. Darasani alikuwa Mpole sana.
Dungu akikuta na kosa dogo, umelia. Akikukuta na kosa la kufukuzwa shule, anakusema mbaya tena mbele za Waalimu, ila hakutaji jina na haendi kushtaki ufukuzwe.

Pia Mlokole mmoja anaitwa Mwakyembe, kichaa wa Mahesabu sana ila Mkorofi mno.
Unyamaunyama aliitwa Mwamfupe
 
Mwanza sec kulikuwa na ki discipline master hicho pambaffff kabisa
kilikuwa kinanikera yani kuwa discipline anajiona kama vile afisa elimu
namchukia hadi kesho alikuwa na unoko wa kifamba sana
anaitwa mkumbo
Vipi Kinshuli yeye alikuwa poa?
 
old moshi ticha anaitwa kinunda asee kwanza akiingia tu class unahisi kampuni ya fegi imeungua. Ila yuko deep sana kwenye math.
Hilo jina la Kinunda ni la utani jina halisi alikuwa anaitwa NGWINYA
 
Mwl Gwau [emoji23][emoji23] alikuwaga anatusemea Kwa mwl Mangochi Pale shuleni kwetu
 
Mtoa mada utajiskiaje baba yako akitajwa humu au unapima upepo kwa hili kongamano la uchumi?[emoji848][emoji848]
 
Kahama Primary School alikuwepo Helmes Kaijage.
Old Moshi Sec School alikuwepo Rambau.
Lake High School alikuwepo Bunuma.
Hawa wote walikuwa ni nomaa
 
Back
Top Bottom