Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

Enzi hizo nakapanya secondary school, kulikua na mwalimu akiitwa rabonga,,,
 
Mwl. Kimaro na Mwl. Palangyo, dadeq hawa wamama walikuwa balaa la kufa mtu.
 
Mwl Nyankulumbwe Mnyangalandimbwi , sitamsahau huyu ticha kwa mistick yake [emoji4]
 
Mwl Nyankulumbwe Mnyangalandimbwi , sitamsahau huyu ticha kwa mistick yake [emoji4]
Kama ulikua unajaribu kulitamka hili jina na umejing'ata ulimi, utanisameh bure. Halikua lengo langu
 
Mwanza sec kulikuwa na ki discipline master hicho pambaffff kabisa
kilikuwa kinanikera yani kuwa discipline anajiona kama vile afisa elimu
namchukia hadi kesho alikuwa na unoko wa kifamba sana
anaitwa mkumbo
Naona umeamua kunitangaza mbele ya hadhara
 
Mapinduzi PS..... alikuwa wa kuitwa Kiyumbi...mzee wa fegi, anakwambia naitwa kiyumbi wa kuyumba, sivuti bangi ni kasport tu
 
Du unoko wa huyu mwalimu ulikuwa unasadifu roho yake aisee!! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mazengo sekondari enzi za headmaster Silvester Mkoba palikuwa na second headmaster mnoko kweli kwa jina la Msasa akisaidiwa na mnoko mwingine alijulikana kwa jina la Mkwizu.
Ila S. Mkoba alikuwa mtu poa sana na humble person.
Wahenga mliopita Mazengo kule Dodoma mnawakumbuka hawa watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…