Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kinshuli hana shida na mtu yuleVipi Kinshuli yeye alikuwa poa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinshuli hana shida na mtu yuleVipi Kinshuli yeye alikuwa poa?
Wewe umesoma Mwanza Sec mwaka gani?Kinshuli hana shida na mtu yule
Mzee wa kujipendekeza kwa HeadmasterOld Moshi Sec School alikuwepo Rambau.
HAHA....mtu mrefu mweusi mtata sanaaaaMr. Kiddu Emmanuel...daah au Mr. Mkandawire..hatariiii
Ni kweli kwamba jina la Kinunda ni la utani kwa sababu alikuwa anapenda sana kutumia kitabu cha Kinunda ila yeye anaitwa Nicolous, Ngwinya (Professor) ni kaka yakeHilo jina la Kinunda ni la utani jina halisi alikuwa anaitwa NGWINYA
Ndo somo lake hata alipohamia kwetuHuyu alikuwa anagonga french pale old moshi sec
Alihamia wap? Mwaka 1997 nilipomaliza frm 4 nilimuacha Old MoshiNdo somo lake hata alipohamia kwetu
Kama ulikua unajaribu kulitamka hili jina na umejing'ata ulimi, utanisameh bure. Halikua lengo languMwl Nyankulumbwe Mnyangalandimbwi , sitamsahau huyu ticha kwa mistick yake [emoji4]
sura ngumu,mutu ya mechanics.Mazengo kuna ticha alikuwa anaitwa Unyamaunyama dah huyu mnyakyusa alikuwa na mkwara sana
Naona umeamua kunitangaza mbele ya hadharaMwanza sec kulikuwa na ki discipline master hicho pambaffff kabisa
kilikuwa kinanikera yani kuwa discipline anajiona kama vile afisa elimu
namchukia hadi kesho alikuwa na unoko wa kifamba sana
anaitwa mkumbo
Du unoko wa huyu mwalimu ulikuwa unasadifu roho yake aisee!! 😀 😀 😀yani nakumbuka Ashira kulikuwa na mwalimu wa kike anaitwa mwalimu Mbele anasura ngumuje sasa alikuwa hapendi watu kuvumisha chakula dom na wadada weng wanapenda kwenda kulia dom akikukamata yani hafu alikuwa ana roho ngumu
kuna siku marafki zangu walivusha uji kila mtu ana chupa mbili aliwaambia wanywe wote na haukuwa na sukari yani chuoni sasa kulikuwa kuna Dr anaitwa Saanane alikuwa anafundisha proposal ni mkali unaenda kupresent unatetemeka mpaka basi Dr yule alinipa pressure hadi semister inaisha ckuamini aise kila mtu alikuwa ana mwogape
Mazengo sekondari enzi za headmaster Silvester Mkoba palikuwa na second headmaster mnoko kweli kwa jina la Msasa akisaidiwa na mnoko mwingine alijulikana kwa jina la Mkwizu.Katika shule/chuo hakosekani mwalimu msumbufu na ambaye huwafuatilia sana wanafunzi hata ktk mambo madogo madogo na kuwapa adhabu za ajabu ajabu.
Leo nataka tuwakumbuke walimu hawa pamoja na kujikumbusha vituko walivyowahi kuvifanya.
Mimi shuleni kwetu Mara Sekondari kulikuwa na mwalimu mmoja aliyeitwa Jigge. Basi siku moja kuna wanafunzi walitoroka kwenda mjini bila ruhusa. Na kibaya zaidi, walipokuwa huko mjini wakafanya fujo na kuharibu mali za wananchi.
Taarifa zao zikafika shuleni. Ilikuwa jioni na kiza kilikuwa kimeanza kukolea. Mwalimu Jigge akapiga kengere. Wanafunzi wote tuliokuwepo shuleni tukakusanyika bwaloni na akaanza kuchuka roll call.
Ili kumkomesha mwalimu huyu, pamoja na kuwanusuru wale wanafunzi 'wahalifu' waliokuwa wamefanya tukio mjini, wanafunzi wakapanga kuzima umeme main switch na kumpopoa kwa mawe. Ghafla tu, umeme ulipozimika, mwalimu alichomoka kama mshale na kutokomea kizani. Wanafunzi walimtupia mawe lakini, kwa ile speed aliyochomoka, hakuna jiwe lililompata. Ana bahati sana.