Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

Hahahahhahahahah umenichekesha sana..... "Mnanuka ulalo (in kimario's voice" hahahhababababab baby nadhani tumemaliza pamoja. Si umesoma pale O'level????

nimesoma advance labda umesoma na akina Irene Msuya na Angel ha ha kwa mama kimaryio pametisha unamkumbuka noma la head mama na Urasa kwenye kuangalia tv katuruhusu badae alitubutua mateke kupta mlangoni sasa nimekumbuka mbali
 
Hahahahhaha yeah....nilikua na kina Irene Msuya enzi hizo....Dah Urassa hahahhahahahahah jamani unanikumbusha mbali
 
Hahahahhaha yeah....nilikua na kina Irene Msuya enzi hizo....Dah Urassa hahahhahahahahah jamani unanikumbusha mbali

yani Irene Msuya ilikuwa full kutuchekesha darasani yan Urrasa nikimkumbuka alipga mateke katuambia tukae kwenye vle vidude vya library nikikumbuka maisha yale
 
yani Irene Msuya ilikuwa full kutuchekesha darasani yan Urrasa nikimkumbuka alipga mateke katuambia tukae kwenye vle vidude vya library nikikumbuka maisha yale

Hahahahahahhaha uuuh.... its funny looking back
 
ebwana hakuna shule/chuo ambacho hakina mwalimu chizi. huku mbambi kuna ticha alikuwa anaitwa mapunda.ila madent wakampachika jina la king kong.story zake sasa,utasikia "mi nawashangaa sana watu wanaovuta sigara.hizo mia mia wakiweka kwa miaka 10 hawanunui gari kweli?''
 
aaaaaaah aaaaaaahaaaaaa ... kuna sku almkmbza mwanafunz mpaka barabaran kutokea shulen. sku nyngne mwanafunz alkmbzwa kuzunguka shule yote. alpoona mwalmu bado yupo akapanda ukuta na kutokea muhmbl
Na Mwenzake Ayoub Mchome
 
old moshi ticha anaitwa kinunda asee kwanza akiingia tu class unahisi kampuni ya fegi imeungua. Ila yuko deep sana kwenye math.
 
Mwagama hata darasa afundish tena somo lake la histori je igeku mathe au physcs lakin kwa kuchapa na noma da teacha wengine wanaboa
 
Dudu wa umbwe aisee alikuwa mnoko balsa harafu hajui kiingereza ukijijitetea kiingereza adhabu inaongezeka
 
Kuna Mwalimu mmoja alikwua anafundisha shule ya msingi Sabasaba Wilayani Tarime miaka ya 90 alikwua kapachikwa jina la Kinjekitile, dah yule ticha alikwua mnoko mbali. Akikuchapa hutosahau..

Aione: platozoom

Hii ilikuwa enzi za mwalimu Peter Makuri?
 
Last edited by a moderator:
Hahhahahahah nlishagawahi kukataa kuchapwa...tulikua hatujadeki dorm...kachapa dorm zima kasoro mimi nikadindisha.....alichukiaje....akanipeleka kwa wale wanoko kina Sheshui na Kimario...nkajifanya nipo period siwezi kuchapwa matakoin

hahahahaha! nimecheka sana--ulikuwa period? bonge ya trick! Kumbe mtu akiwa period akichapwa makalion inakuwaje? Viboko hudunda au pedi huchanika?
 
Wanaomjua Alemson Kaiza au (Njuguti) Rulenge Secondary school. Naendelea kufanya maombi ili nije nimsamehe kabla sijafa. Nashindwa kuisahau siku aliponitandika viboko 25 kwa siku moja day and night bila kosa. Hata namkumbuka marehemu Headmaster Niwa Mtongole aliyeniepusha na balaa hilo Mungu amlaze mahali pema peponi. Mwalimu huyo alikitaka kunisaspend. Ni miaka kama Ishirini lakini haifutiki akilini mwangu. Hata hivyo nikibahatika kukutana naye naweza kumsamehe baada ya kumkumbusha. Naamini hakumbuki kwa sababu alikuwa anatembeza kiboko ile mbaya kwa watu wengi sana.

Pole sana mkuu. Huyu mwalimu yaonekanma alikuwa mnoko sana,lakini ungemsamehe tu, kwani alikuwa hajui alitendalo.
 
nimesoma advance labda umesoma na akina Irene Msuya na Angel ha ha kwa mama kimaryio pametisha unamkumbuka noma la head mama na Urasa kwenye kuangalia tv katuruhusu badae alitubutua mateke kupta mlangoni sasa nimekumbuka mbali

Hahahaha! Yaani hata sipati picha jinsi huyo mwalimu alivyokuwa akiwabutua hayo amateke!

Umenikumbusha Mwalimu Pius wa shukleni kwetu Mara Sekondari enzi zile za 1990's. Mwanafunzi ukifanya kosa, alikuwa hana haja ya kukukimbiza--yeye alikuwa akiokota fungu la mawe na kuanza kukutungua nayo--jitihada zako za kuyakwepa ndio 'msalie mtume' wako--ukikosea kukwepa, ngeo zinakuhusu! Yaani full movie nikikumbuka enzi zile. hahahahaha!
 
Hii ilikuwa enzi za mwalimu Peter Makuri?

Huyu Mwalimu si ndo yule tulimpachika jina la Mwalimu "Sapa" make alikwua hawezi kutamka "Saba" badala yake anatamka "Sapa" Mwisho wa siku likashika hilo jina Mwalimu Sapa!!!!!!!!! :evil: :evil:
 
Back
Top Bottom