zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Dah!hiyo avatar imefanya nilikuwa nimebandika maji yangu ya kuoga yameungulia jikoni Depal [emoji6][emoji6]Zisijibiwe na kina nani? Na kwanini zisijibiwe eti [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!hiyo avatar imefanya nilikuwa nimebandika maji yangu ya kuoga yameungulia jikoni Depal [emoji6][emoji6]Zisijibiwe na kina nani? Na kwanini zisijibiwe eti [emoji3]
Jamani umebadilika, umependeza sana hapo kwa avatar😂Zisijibiwe na kina nani? Na kwanini zisijibiwe eti 😀
Dah!nina ugonjwa wa kutetemeka yatanitetemeshaKaoge ya baridi
Ai lavu yu dai[emoji23][emoji23][emoji23]
mfundishe kwa bidii maana ni mzito sana kuelewa kiingeredha, ikitokea ameelewa hata chakunywea maji basi zawadi ya tausi itahusikaSawa
Mzaire[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...hili jina nilitungwa na last born wetu Basi ndilo jina analonitambulisha hata kwa rafiki zake wakija home..sababu nilikuwa napenda Sana kujipamba huwezi nikuta nipo home ovyo ovyo lazima ukute mwili msafi uso Sasa Kama wanawake wa kizaire wanja lipstick hatareee🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Shem shemKwangu we ni shem tu ata uwe msudani [emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Shem shem
Haha nachange mazingira kidogo...Jamani umebadilika, umependeza sana hapo kwa avatar😂
🙏[emoji4] am proud of u shem
[emoji120]
Barikiwa Shem
Yeah yeah kubadili style muhimuHaha nachange mazingira kidogo...
sawa ndio nini?sawa
Nakusalimu mkuu.Haha nachange mazingira kidogo...
hahahah...aisee maisha yanaend wakati nipo mdogo nilikuwa na tabia ya kutembea na kiloba kama kiloba lengo langu lilikuwa nilikuwa sipendi mtu aone nilichobeba kwan vingi nnavo viweka huwa naiba mahala fulani kwa watoto wenzangu,kutokana na hiyo hali watu wengi mtaan wakiniona walikuwa wananiita miloba
Baba paroko siku hizi huvai tena hayo masuruali?O level - Baba paroko; kwa sababu nilikuwa na suruali pana halafu navalia juu ya kiuno kama wasanii wa kikongo enzi hizo.
A level, mwanafalsafa; kwa sababu nilikuwa napenda mijadala na nilikuwa nawakimbiza watu kwa hoja kali kiasi wakawa wanasema mimi kuzaliwa zama hizi ni makosa makubwa ambayo nature imefanya.
Siku hizi nishaacha, nimekuwa raia wa kawaida tu.Baba paroko siku hizi huvai tena hayo masuruali?