Tupia jina lako la utani na sababu ya kuitwa jina hilo

Tupia jina lako la utani na sababu ya kuitwa jina hilo

Mzaire[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...hili jina nilitungwa na last born wetu Basi ndilo jina analonitambulisha hata kwa rafiki zake wakija home..sababu nilikuwa napenda Sana kujipamba huwezi nikuta nipo home ovyo ovyo lazima ukute mwili msafi uso Sasa Kama wanawake wa kizaire wanja lipstick hatareee🤣🤣🤣

Kwangu we ni shem tu ata uwe msudani [emoji23]
 
hahahah...aisee maisha yanaend wakati nipo mdogo nilikuwa na tabia ya kutembea na kiloba kama kiloba lengo langu lilikuwa nilikuwa sipendi mtu aone nilichobeba kwan vingi nnavo viweka huwa naiba mahala fulani kwa watoto wenzangu,kutokana na hiyo hali watu wengi mtaan wakiniona walikuwa wananiita miloba 😂😂😂 nashukulu mungu niliacha ulikuwa ni udogo kwa kweli
 
O level - Baba paroko; kwa sababu nilikuwa na suruali pana halafu navalia juu ya kiuno kama wasanii wa kikongo enzi hizo.

A level, mwanafalsafa; kwa sababu nilikuwa napenda mijadala na nilikuwa nawakimbiza watu kwa hoja kali kiasi wakawa wanasema mimi kuzaliwa zama hizi ni makosa makubwa ambayo nature imefanya.
 
hahahah...aisee maisha yanaend wakati nipo mdogo nilikuwa na tabia ya kutembea na kiloba kama kiloba lengo langu lilikuwa nilikuwa sipendi mtu aone nilichobeba kwan vingi nnavo viweka huwa naiba mahala fulani kwa watoto wenzangu,kutokana na hiyo hali watu wengi mtaan wakiniona walikuwa wananiita miloba
 
O level - Baba paroko; kwa sababu nilikuwa na suruali pana halafu navalia juu ya kiuno kama wasanii wa kikongo enzi hizo.

A level, mwanafalsafa; kwa sababu nilikuwa napenda mijadala na nilikuwa nawakimbiza watu kwa hoja kali kiasi wakawa wanasema mimi kuzaliwa zama hizi ni makosa makubwa ambayo nature imefanya.
Baba paroko siku hizi huvai tena hayo masuruali?
 
Back
Top Bottom