Tupia jina lako la utani na sababu ya kuitwa jina hilo

Tupia jina lako la utani na sababu ya kuitwa jina hilo

O level pale azania nliitwa Mr. Log na nlipoingia chuoni nikaitwa Chanchad ,walioona 3 idiot nadhani mtakua mmenielewa vizuri
 
Hahaaa ila nmekumbuka kipindi cha nyuma baba yangu alikua anapenda sana kuniita mkungumuya, half too bad hata sikuwahigi kumuuliza maana yake ni nini so hata sikujua lina maana gani.
Manake mwanamke mzuri/mrembo kama we ni mtu wa Musoma
 
Back
Top Bottom