Jagiya
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 1,206
- 1,828
kwa kiasii nimepunguzahongera sana mkuu, ni wadada wachache sana hua wababe vipi bado unaendelea na ubabe au ushaacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa kiasii nimepunguzahongera sana mkuu, ni wadada wachache sana hua wababe vipi bado unaendelea na ubabe au ushaacha
Habari yako? Nashukuru kwa salamu..Nakusalimu mkuu.
poa miss mjeda, vipi hua humzingui bae wako?kwa kiasii nimepunguza
unahisi kuvaa vile ilikua ni ushamba au ndo mikato ya zama hizoSiku hizi nishaacha, nimekuwa raia wa kawaida tu.
itabidi aelewe tu pale atakapo leta pigo za ajabupoa miss mjeda, vipi hua humzingui bae wako?
lakini ujue ke anapaswa kuwa mpole na mtiifu kwa bae wake?itabidi aelewe tu pale atakapo leta pigo za ajabu
n kweli kabisa,nakuaga mpole na mtii ubabe unakua mbali kabisa ila kwa watu wapuuzi huwaga nabadilikalakini ujue ke anapaswa kuwa mpole na mtiifu kwa bae wake?
vizuri mkuu, vipi kuna faida yoyote ulowahi ipata kutokana na ubabe huo?n kweli kabisa,nakuaga mpole na mtii ubabe unakua mbali kabisa ila kwa watu wapuuzi huwaga nabadilika
tupe maana na sababu ya kuitwa jina hilo mkuuMdondoko
kwa kiasi,kwan niliepukana na watu wenye mambo ya ajabuvizuri mkuu, vipi kuna faida yoyote ulowahi ipata kutokana na ubabe huo?
Nina macho ya kulegea,ndio sababu kuu ya kupewa jina hilotupe maana na sababu ya kuitwa jina hilo mkuu
dah! kumbe una macho pendwa mkuu, hongera sanaNina macho ya kulegea,ndio sababu kuu ya kupewa jina hilo
Manake mwanamke mzuri/mrembo kama we ni mtu wa MusomaHahaaa ila nmekumbuka kipindi cha nyuma baba yangu alikua anapenda sana kuniita mkungumuya, half too bad hata sikuwahigi kumuuliza maana yake ni nini so hata sikujua lina maana gani.
hongera mkuu bt naamini hadi sasa bado unapendezaNiliitwa 'smart girl' shule., kutokana na tabia ya usafi na kupendeza
Yahh mkuu ishakua tabiahongera mkuu bt naamini hadi sasa bado unapendeza
mkuu ahsante sana kwa kutupa maana yake, yeye atakua anajua bt hapendi sho ofu ndo maana hakusemaNiliitwa 'smart girl' shule., kutokana na tabia ya usafi na kupendeza