Tupia jina lako la utani na sababu ya kuitwa jina hilo


Kwangu we ni shem tu ata uwe msudani [emoji23]
 
hahahah...aisee maisha yanaend wakati nipo mdogo nilikuwa na tabia ya kutembea na kiloba kama kiloba lengo langu lilikuwa nilikuwa sipendi mtu aone nilichobeba kwan vingi nnavo viweka huwa naiba mahala fulani kwa watoto wenzangu,kutokana na hiyo hali watu wengi mtaan wakiniona walikuwa wananiita miloba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nashukulu mungu niliacha ulikuwa ni udogo kwa kweli
 
O level - Baba paroko; kwa sababu nilikuwa na suruali pana halafu navalia juu ya kiuno kama wasanii wa kikongo enzi hizo.

A level, mwanafalsafa; kwa sababu nilikuwa napenda mijadala na nilikuwa nawakimbiza watu kwa hoja kali kiasi wakawa wanasema mimi kuzaliwa zama hizi ni makosa makubwa ambayo nature imefanya.
 
 
Baba paroko siku hizi huvai tena hayo masuruali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…