- Thread starter
- #141
hongera kwa hilo maana wadada wengi wakioleka hupoteza mvuto kiasiYahh mkuu ishakua tabia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongera kwa hilo maana wadada wengi wakioleka hupoteza mvuto kiasiYahh mkuu ishakua tabia
we mrembo jitokeze, wakalimani washatupa tafsiri ya mkungumuyaHahaaa ila nmekumbuka kipindi cha nyuma baba yangu alikua anapenda sana kuniita mkungumuya, half too bad hata sikuwahigi kumuuliza maana yake ni nini so hata sikujua lina maana gani.
Swalama kabisa.Habari yako? Nashukuru kwa salamu..
hongera mr. putinDah mimi nilikuwa fan mkubwa sana wa Putin hadi wakaniita Mrusi.
hujambo madam cindy, kwa kweli wanafunzi kwa kupachika majina hawajamboCindelela, niliitwa na wanafunzi wangu enzi nafundisha nilistukia naitwa madam cindy.nishatokaga huko ila bado jina lipo
Woow kumbe ina maana nzuri, jinsi inavyotamkwa nilikua naliona baya. Saivi nitalipenda and yes ni wa MusomaManake mwanamke mzuri/mrembo kama we ni mtu wa Musoma
Nimeona hapo, nimelipenda kwakweliwe mrembo jitokeze, wakalimani washatupa tafsiri ya mkungumuya
maana yake ulikua unaijua sema ni vile hupendi sho ofuNimeona hapo, nimelipenda kwakweli
Kweli nilikua siijui na jina sikulipendamaana yake ulikua unaijua sema ni vile hupendi sho ofu
sawa mkungumuya wetuKweli nilikua siijui na jina sikulipenda
ni haki yako kusema utakacho, yaani hadi nick name zinakutia hofu?Uzi umekaa kipolisipolisi huu.
Usihofu natania tuni haki yako kusema utakacho, yaani hadi nick name zinakutia hofu?
mbona jina la kutisha hawakukuogopa watu mkuuMkono wa jini....yani kila task ngumu au manz mgumu apatikane ...maana mkono wa jini unapita kila sehemu
Wala hakuna mkuumbona jina la kutisha hawakukuogopa watu mkuu