Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Hivi macho ndo yanafanya sisi tunaona au mwanga (nuru) ndo inafanya tunaona?? Maana gizani hatuoni..!
Vyte vinawezakua jibu but i think macho nd yanafanya tunaona koz hata pasipo kua na mwanga still macho hua na uwezo kiasi
 
5250
 
Iyo ni reflection ya maji(Bahari,maziwa na mabwawa)
Sio reflection ya maji maana kuna sehemu zingine hazina bahari wala ziwa wala mito na bado anga linaonekana la bluu, kiufupi ni refraction (kupinda) kwa mwanga kunako sababishwa na air molecules of different gases zilizopo angani na hivyo kupelekea sisi tulio duniani kuona anga la bluu lakini ki uhalisia anga halina rangi it's just perception of our senses because of light being scattered from afar and blue light is scattered more than the other colors because it travels as shorter, smaller waves. This is why we see a blue sky most of the time.
 
Hivi nini hutokea mtu anapopitiwa na usingizi?Nina maana nini humfanya apoteze hisia za duniani na. Nini humrudisha tena kutoka kwnye usingizi?

Nadhani apa ubongo unahusika kwa namna moja ama nyingine.

Sababu mtu anapokua amelala ubungo na moyo hivi hua vipo kazini mda wote. Especially kwa upande wa matendo yasiyo ya hiari.
 
Kwanini Jua Rangi yake tofauti kati ya mchana na jioni au asubuhi na Kwanini Jua wakati wa asubuhi na jioni sio kali kama Mchana ikiwa umbali wa Dunia na Jua ni ule ule????
 
Andika swali au statement yenye kufikirisha akili.

Mimi naanza:

Hivi kati ya masikio na pua kipi kinashikilia miwani?
Hivi kila mlango uliowazi lazima uingie?
Hivi rice cooker inapikia wali peke ake?

Twende kazi

Sent from Quarantine
andika neno la kiswahili ambapo ukitoa elufi take ya mwisho ni Kuna la mnyama kwa kingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…