Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Hivi nini hutokea mtu anapopitiwa na usingizi?Nina maana nini humfanya apoteze hisia za duniani na. Nini humrudisha tena kutoka kwnye usingizi?
 
Kwanini wamasai wanauza vile viatu afu Wao hawavivai na wanavovaa hawatengenezi Wao?
 
Hivi utosi kama sehem ya mwil ina kazi gn
 
Je uchawi na ushirikina kuna tofauti yoyote???
Uchawi ni sehemu ndani ya ushirikina.

Ushirikina unajumuisha uchawi, kutazama nyota, ramli, mambo ya kuvaa hirizi, matambiko nk.

Na ndio maana katika dini M/Mungu mtukufu amekataza ushirikina kwa ujumla na yote yaliyomo ndani yake niliyokwishayataja hapo juu.
 
Andika swali au statement yenye kufikirisha akili.

Mimi naanza:

Hivi kati ya masikio na pua kipi kinashikilia miwani?
Hivi kila mlango uliowazi lazima uingie?
Hivi rice cooker inapikia wali peke ake?

Twende kazi

Sent from Quarantine
toa credit kwangu mkuu
 
Back
Top Bottom