Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

HIVI KWANINI MWANAUME AKIKOJOA MKOJO,TONE LA MWISHO HALITOKI HADI ATIKISE UUME NDO UNAISHA?
 
Na je Ukifungua mlango asubuhi ukakuta nje hapapo... picha gani inajengeka katika ufahamu wako?
Umetisha mkuu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Tofauti ya Chizi,mwehu,kichaa,mwendawazimu,juha,taahira na mwezimchanga ni nini?????
 
Ingekuwa vipi kama pumzi tungekuwa tunalipia 🤣 sijui hata ingekuwaje?

Ingekuwa vipi tungeishi bila kula maovu yangekuwepo kweli? 🤔

Ingekuwa vipi kufa kungekuwa hakuna duniani saiz hapa tungekuwa wangapi mpaka sasa? 🙆‍♂️

Maswali ni mengi lakini hayana majibu kamili.
 
Back
Top Bottom