DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Swali KUNTU hili[emoji1]Kuhusu mtu wa kwanza KUFA.... waliokuwepo walikuwa na Ushahidi gani kwamba Jamaa yao amekufa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali KUNTU hili[emoji1]Kuhusu mtu wa kwanza KUFA.... waliokuwepo walikuwa na Ushahidi gani kwamba Jamaa yao amekufa?
Sasa hii mitihani/majaribu tulinayo ingekuwa ya nani wakati wote tuko sawa kwa kila kitu. Tungeweza vipi kupata kipimo cha mtu kufaulu au kufeli??Kwanini MUNGU hakutufanya tuishi maisha yenye usawa wa kila kitu kuanzia imani na mali?
Sasa hii mitihani/majaribu tulinayo ingekuwa ya nani wakati wote tuko sawa kwa kila kitu. Tungeweza vipi kupata kipimo cha mtu kufaulu au kufeli??
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Ukiwa Arusha kwenda Dodoma kuna road inaitwaa Dodoma road wakati kuna mkoa wa Manyara pale kati kabla ya kufika DomKwa walio DSM .... Barabara maarufu na kubwa ni MOROGORO ROAD! Kwa nini haiitwi KIBAHA ROAD? CHALINZE ROAD?
Kutokea DSM kwenda Moro kuna Mkoa wa Pwani wenye Miji km Kibaha, Chalinze, Mdaula, Ubena na Bwawani!
Ukiwa Moro kwenda Dom inaitwa DODOMA RD na si SINGIDA RD!
Ukiwa Moro kwenda Iringa inaitwa IRINGA RD na sio MBEYA RD!
Ndio maana kuna siku ya hukumu ili akuhukumu kutokana matendo yako kama ulimshukuru kwa alichokupa au ulimkufuru.Kwanini Mungu atupime ilihali anajua kuwa yeye ndio katuumba so udhaifu wetu wote yeye anaujua? Je wenye maisha magumu ndio wanatumikia adhabu yao kbs hapa duniani?
Unajua hakuna binadamu aliemuomba Mungu amuumbe?Ndio maana kuna siku ya hukumu ili akuhukumu kutokana matendo yako kama ulimshukuru kwa alichokupa au ulimkufuru.
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Ndio na ndio maana Mungu ndio kaumba apendavyo yeye, ndio maana kila siku tunaambiwa tusiwacheke walemavu kwani nao hawaomba/kupenda walivyoumbwa bali ni kwa matakwa yake mwenyewe Muumba.Unajua hakuna binadamu aliemuomba Mungu amuumbe?
Ndio na ndio maana Mungu ndio kaumba apendavyo yeye, ndio maana kila siku tunaambiwa tusiwacheke walemavu kwani nao hawaomba/kupenda walivyoumbwa bali ni kwa matakwa yake mwenyewe Muumba.
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
What is a Reality?
How do you define 'real'?
Binadamu =Bin Adam
Mtu=Aliumwa mwanzo
Kwahyo Binadamu ni matokeo ya Mtu
Kwa nini umri wa mtoto unaanza kuhesabiwa anapozaliwa na sio tangu mimba akiwa tumboni?kwanini tunahesabu akiwa timboni akija kuzaliwa tunaanza kuhesabu upya?
Hivi kwann tukifa,tunazikwa futi sita urefu wa kaburi kwenda chini,kwann isiwe futi saba au tano kwann sita?
Na fate?Destiny ni Hatma,Future ni Baadae
Binadamu ni U'bin,sisi wote ni ubin wa babu mzee Adam
Bin'Adam.
Mtu ni kiumbe chenye ufahamu wa kujua Jema na Baya.
Sa kwa nn?Ukiwa Arusha kwenda Dodoma kuna road inaitwaa Dodoma road wakati kuna mkoa wa Manyara pale kati kabla ya kufika Dom
Hatma piaNa fate?
Hatma ni nini na Baadae ni nini?
Hatma ni mwisho wa kitu, baadae ni muda ujao no infinity....Hatma ni nini na Baadae ni nini?