Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Robo ya dunia ni nchi kavu kwingne kote ni maji
Kule juu kuna kitu gani ambacho kinafanya reflection itokee,yaani miale inagonga wapi na kurudi kwetu wakati huko juu kuko wazi mkuu ?
 
Swali langu mimi ni kwenye utengenezaji wa madaraja kama kigamboni,mshimo yanachimbwaje,zege linawekwaje,nguzo zinawekwaje? Uimara wa sakafu ya bahari mbona kama ni tope unashikaje?
 
Back
Top Bottom