Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Andika swali au statement yenye kufikirisha akili.

Mimi naanza:

Hivi kati ya masikio na pua kipi kinashikilia miwani?
Hivi kila mlango uliowazi lazima uingie?
Hivi rice cooker inapikia wali peke ake?

Twende kazi

Sent from Quarantine
Kama Mungu ni mweza wa yote, ubaya umetoka wapi?
 
Mbona hata sehemu ambazo hazina bahari na mito juu tunaliona wingu la bluu ?

Hiyoo reflection inafanyikaje mpaka sehemu ambazo hakuna hayo mamito na mabahari ionekane ?
Robo ya dunia ni nchi kavu kwingne kote ni maji
 
Andika swali au statement yenye kufikirisha akili.

Mimi naanza:

Hivi kati ya masikio na pua kipi kinashikilia miwani?
Hivi kila mlango uliowazi lazima uingie?
Hivi rice cooker inapikia wali peke ake?

Twende kazi

Sent from Quarantine
Mungu alipoumba alikaa wapi? Hapakuwa na chochote
 
Diamond na Ali kiba nani msanii bora Tz?

CR7 na Leo Messi nani mchezaji mkali kwa kizazi chetu?

Daima hayo maswali mwafaka huwaga haupatikani.
Ali kiba mbishi sana ila Diamond ana u genius kidogo
 
Ni mti gani ambao jina lake halianziwi na herufu M ?

Nb: Kwa kiswahili
 
Kuhusu mtu wa kwanza KUFA.... waliokuwepo walikuwa na Ushahidi gani kwamba Jamaa yao amekufa?
 
Kwa walio DSM .... Barabara maarufu na kubwa ni MOROGORO ROAD! Kwa nini haiitwi KIBAHA ROAD? CHALINZE ROAD?

Kutokea DSM kwenda Moro kuna Mkoa wa Pwani wenye Miji km Kibaha, Chalinze, Mdaula, Ubena na Bwawani!

Ukiwa Moro kwenda Dom inaitwa DODOMA RD na si SINGIDA RD!

Ukiwa Moro kwenda Iringa inaitwa IRINGA RD na sio MBEYA RD!
 
Unaweza kueleze maana ya kutohoa?

Bora ata ungesema limewekewa Affixies kutoka kwenye fish kutohoa duh!
Katika vitu sipendi maishani mwangu dharau....Kama haujui mm ni mkaguzi mkuu wa kiswahili Tanzania(MKITA)....So najua nachosema sababu am professional kwenye hii Tasnia ya unyumburufu.
 
Back
Top Bottom