Memba wengi wanaview Tu, then wanasepaYeah, unachosema ni kweli mkuu.
Ndio mana naona threads nyingine huwa na views nyingi kuliko hata comments.
I love JF.
Hahaha nimecheka mnoKuna huyu kijana Alonso14 yan yeye haiwezi kupita dkk 5 hajavunja sheria za JF achilia mbali za nchi. Yeye ni matusi haipiti muda anaachiwa anaendeleza mwendo ule ule
Huwa nataniana nae sana so nasikitika hayupoYupo sero mkuu. Hahah.
Huku ndio kwenyewe[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Huku hapanifai huku
Yale masuala ya TMT yamechukua members kadhaa juzi. Ila walistahili. They got too personal.
Inakuja au nikutafutieIla jamani mungu mkubwa sijapigwa BAN kwa hii ID ya popoma toka December 25 hadi leo
sawa ngoja nimsubiriHahahah, Usjali atarudi tu mkuu.
Nahamu nayo sanaUmeiombea, basi ngoja itakuja kwako soon tu. Hahah.
KwaniniNinachokumbuka ni kwamba Kiranga aliaga na kujiondoa JF....