Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Memba wengi wanaview Tu, then wanasepaYeah, unachosema ni kweli mkuu.
Ndio mana naona threads nyingine huwa na views nyingi kuliko hata comments.
I love JF.
Mfano jukwaa la siasa kama Una moyo mwepesi utagombana na kila memba Kwa kweli