Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Yeah, unachosema ni kweli mkuu.

Ndio mana naona threads nyingine huwa na views nyingi kuliko hata comments.

I love JF.
Memba wengi wanaview Tu, then wanasepa

Mfano jukwaa la siasa kama Una moyo mwepesi utagombana na kila memba Kwa kweli
 
sitaki lawama nkimaliza hii kitu
64b014a72a24193d1b95fd2e21d16642.jpg

Hahahah, naona hata Avatar yako inaongea mkuu. Weka vitu kisha ukuje hapa mkuu. Lol.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]


[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Huku hapanifai huku
Huku ndio kwenyewe
 
Naomba niseme machache,
Jf ni sehemu ambayo wanapita watu wengi na wa kila aina kujifunza na kupata habari. Tujitahidi kuelemisha hii jamii ili kupata ukombozi wa jamii ya mpya. Tuzishinde hisia zetu hasa kwenye makwazo na kuonyeshana umwamba bila sababu za msingi.
Nina mwaka wa 10 hapa ndani sijawai "kuchomwa"
Shukrani!
 
Back
Top Bottom