Tupia member ambaye yuko banned kwa sasa

Naamini nina ban, maana kuna majukwaa nikipeleka pua yangu.. nakutana na bango kuubwa kuwa sina permission

Hahahah, jukwaa la kikubwa sio wote wanaruhusiwa mkuu.

Peleka ombi kwa Invisible akufungulie utaweza kuingia mkuu.

Karibu Sana.
 
Kuna walioweka picha za nifah kwenye uzi flan wakala ban wapo waliokua wanatukana yote yamesababishwa na forex
 
Ndio nae pia

Hakuna aliyekereka kwa bidada kuajiriwa TMT bali kuna comments zake za kudiss single momz (na kufananisha watoto wao na laana na uzinzi)ziliwakera baadhi ya wadada na pia alikua na bifu na baadhi ya watu so wakatumia chance hio kumuweka hadharan wote wamfahamu.
Naskia mzee wa USA babe mmoja wao ati. Si wamuache tu bidada apige kazi TMT jameni. Khaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…