Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAHUJA hivi umeshatoka kifungoni?
Yuko jela huyo mkuu.
Nimeshatoka mpendwa Tantaw, ahsante kwa kunijali
niko huru sasa mtanimtani wangu NAHUJA nae duuh
Nahuja mambo?Nimeshatoka mpendwa Tantaw, ahsante kwa kunijali
Naamini nina ban, maana kuna majukwaa nikipeleka pua yangu.. nakutana na bango kuubwa kuwa sina permissionNa wee umekula ban mkuu...?
Salaaaaaaam.
Well, tumekuwa tukiwasiliana na wadau wenzetu mbalimbali humu jamvini na pia hata kutaniana kwa hapa na pale ili mradi masaa yapite tu.
Kuna muda utani unazidi hasira zinapanda na jazba zinaongezeka na hatimaye member kutoa kauli zinazosababisha kuwa Banned.
Sio mbaya tukijua members wenzetu ambao wako Banned na hata sababu iliyopelekea kupigwa BAN ili tujue wanastahili au wameonewa ili nasi tusipatwe na BAN kutofanya kama walichofanya.
Kwa kuanza naanza na
Jestkilla na Matola.
Sjui ni nini kilisababisha wakapigwa BAN hawa bandugu.
Naskia mzee wa USA babe mmoja wao ati. Si wamuache tu bidada apige kazi TMT jameni. Khaaaa.