Tupia picha kali utakayopiga na simu yako tujue aina gani ya simu ina kamera matata sana

Badilisha vyuma vya dirisha...toa hizo flat bars weka square pipes au kama bajeti ndogo weka nondo
Yaani huku ndani wizi wake kidogo, shida hivyo vitu vya nje, hapo ni shamba mkuu, yaani walivyoiba ndani mpaka leo vichache mnoo, ila huko nje, kuna minazi km 100 hiv, wanaiba kinyama, na naimani nikienda kukaa sababu ya mifugo na vitu vingine watakuja sana kuiba, ndio hapa kichwa kinawaka moto, natamani ningekuwa jumong.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…