Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Mm nafatilia mandhari yenye ukijani , Kwa sababu napenda ukijani , sjasema kilimanjaro hamna maeneo makavu .ila asilimia kubwa ya maeneo ya milman uchagani na upareni kuna maeneo ya kuvutia mno ndo maana wajeruman walipiga kambi huko.
 
Kwa nini mnataka kuwapangia watu nini cha kuongea? Kama watu wanataka kujisifu tatizo liko wapi? Tuache mambo ya ajabu ya kutaka watu wote wafikiri sawa.
 
Ni jambo la kushangaza kuona watu wanapata shida kuona maendeleo ya sehemu nyingine ya nchi. Nadhani hii ilitakiwa iwe chachu ya kuleta maendeleo sehemu zingine....
 
Sasa wewe mbona huoni point yangu Nan kaanzisha ukabila hapo mbona watu wajinga mko wengi sana
Sijaona point zaid ya chuki na roho mbaya tu. Mm mzaramo na sioni tatizo nikasifia kwetu
 

Kwanini wahache?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ