Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Kabisa na kiukweli tukisema zitumwe picha za nyakati tofauti kila mtu atabaki anashangaa. Kwa Kilimanjaro hususani Wilaya ya Hai, Moshi na Rombo (Maeneo ya ukanda wa juu au milimani na ukanda wa kati) ndiyo yana ukijani kama inavyoonekana kwenye picha zinaazotumwa. Mfano mtu wa Moshi akituma picha za maeneo ya Kahe, Mabogini, Chekereni, Uchila, au mjini kiujumla utaona mandhari tofauti. Hivyo hivyo kwa mtu wa Same, Siha, Hai, Rombo, n.k. Kwa maeneo niliyowahi kufika ukiacha kwetu mbeya maeneo yenye ukijani uliobalance kipindi chote cha mwaka (masika na kiangazi) ni Mkoa wa Kagera isipokuwa Wilaya ya Karagwe. Hizi za Kilimanjaro ukiondoa ukanda wa juu na kati ni kubovu sana tena sana. Mfano hapo kuna mtu katuma picha ya mashima ambayo ipo maeneo ya kuelekea tarakea mpakani, ukipiga picha wakati tofauti na kipindi cha mvua au mwezi wa tano hadi wa 9 utakutana na vumbi tu hata huo ukijani haupo. Kwa Kagera, Iringa na Njombe kwangu mimi ndiyo maeneo yenye mandhari nzuri kipindi chote japo Kagera ni namba moja. Kwa upande mwingine min -me umefanya vema angalau hii inatoa hamasa kwenye suala zima la utunzaji wa mazingira na kuona mandhari ya maeneo tofauti. Ebu tutumie picha za huko maeneo karibu na TPC au siha
Mm nafatilia mandhari yenye ukijani , Kwa sababu napenda ukijani , sjasema kilimanjaro hamna maeneo makavu .ila asilimia kubwa ya maeneo ya milman uchagani na upareni kuna maeneo ya kuvutia mno ndo maana wajeruman walipiga kambi huko.
 
Mods huu uzi uungwe na ule wa kwetu pazuri
[emoji116][emoji116]
Maxence Melo
Kwa nini mnataka kuwapangia watu nini cha kuongea? Kama watu wanataka kujisifu tatizo liko wapi? Tuache mambo ya ajabu ya kutaka watu wote wafikiri sawa.
 
Ni jambo la kushangaza kuona watu wanapata shida kuona maendeleo ya sehemu nyingine ya nchi. Nadhani hii ilitakiwa iwe chachu ya kuleta maendeleo sehemu zingine....
 
Wachagga kwanza nyinyi Nepotism imewaharibu, pili nyinyi ni washamba kuliko makabila yote Tanzania, yaani kila siku kuanzisha mathread ya upupu tu humu, mnatafuta kiki zisizo na maana hacheni ushamba, tofauti na mlima Kilimanjaro hamna kingine cha kutalii huko kwa wanywa mbenge

Hacheni Nepotism mataka taka nyie

Kwanini wahache?
 
Back
Top Bottom