Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Unataka kusema wachaga wengi wanasumbuliwa na njaaa😂😂😂Issue siyo utapeli, issue ni njaa. Njaa mbaya.[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusema wachaga wengi wanasumbuliwa na njaaa😂😂😂Issue siyo utapeli, issue ni njaa. Njaa mbaya.[emoji23]
Umempa jibu tamu sana😂😂😂😂Hatukimbii ndugu tunatoka kwenda kutafuta kwenye wajinga wengi (wajinga ni fursa) ili kuja kupaendeleza kwetu.
Pole bwashee.
Mpaka kusifia kwenu ni ukabila toshaUkabila kivip mbona hajaponda kabila lingine, nawewe anzisha Uzi usifie kwenu sio kosa mtu kusifia kwao kwa njia ya picha
Oli tumpaf [emoji34][emoji34]Hatukimbii ndugu tunatoka kwenda kutafuta kwenye wajinga wengi (wajinga ni fursa) ili kuja kupaendeleza kwetu.
Pole bwashee.
Namshauri mwanzisha uzi, kichwa cha habari kiwe kilimanjaro photo gallery au moshi photo gallery.Hakuna cha kufurahia thread imeanzishwa kisifa sifa Hii.
You must stop Nepotism
Angeandika weka picha za wilaya unayoishi wala asingepata lawama.Lakn lengo hapa ni kuweka picha za mkoa uliopo na lengo sio kuringishia kila mtu anajua tuko kwenye nchi dunia ya tatua
Ukiongea ivyo utasikia eti una chuki waache tu watakuja kusema wao ndo Wana elimu ukiwakosoa kidogo wanasema una chuki mara umaskiniHakuna cha kufurahia thread imeanzishwa kisifa sifa Hii.
You must stop Nepotism
Mm nafatilia mandhari yenye ukijani , Kwa sababu napenda ukijani , sjasema kilimanjaro hamna maeneo makavu .ila asilimia kubwa ya maeneo ya milman uchagani na upareni kuna maeneo ya kuvutia mno ndo maana wajeruman walipiga kambi huko.Kabisa na kiukweli tukisema zitumwe picha za nyakati tofauti kila mtu atabaki anashangaa. Kwa Kilimanjaro hususani Wilaya ya Hai, Moshi na Rombo (Maeneo ya ukanda wa juu au milimani na ukanda wa kati) ndiyo yana ukijani kama inavyoonekana kwenye picha zinaazotumwa. Mfano mtu wa Moshi akituma picha za maeneo ya Kahe, Mabogini, Chekereni, Uchila, au mjini kiujumla utaona mandhari tofauti. Hivyo hivyo kwa mtu wa Same, Siha, Hai, Rombo, n.k. Kwa maeneo niliyowahi kufika ukiacha kwetu mbeya maeneo yenye ukijani uliobalance kipindi chote cha mwaka (masika na kiangazi) ni Mkoa wa Kagera isipokuwa Wilaya ya Karagwe. Hizi za Kilimanjaro ukiondoa ukanda wa juu na kati ni kubovu sana tena sana. Mfano hapo kuna mtu katuma picha ya mashima ambayo ipo maeneo ya kuelekea tarakea mpakani, ukipiga picha wakati tofauti na kipindi cha mvua au mwezi wa tano hadi wa 9 utakutana na vumbi tu hata huo ukijani haupo. Kwa Kagera, Iringa na Njombe kwangu mimi ndiyo maeneo yenye mandhari nzuri kipindi chote japo Kagera ni namba moja. Kwa upande mwingine min -me umefanya vema angalau hii inatoa hamasa kwenye suala zima la utunzaji wa mazingira na kuona mandhari ya maeneo tofauti. Ebu tutumie picha za huko maeneo karibu na TPC au siha
Nimependa san a style yaa hivi vijumba. Viko sehemu gani?
We unasema picha za wilaya mwingine atasema angesema picha za kijiji 🤷🤷🤷Angeandika weka picha za wilaya unayoishi wala asingepata lawama.
Kwa nini mnataka kuwapangia watu nini cha kuongea? Kama watu wanataka kujisifu tatizo liko wapi? Tuache mambo ya ajabu ya kutaka watu wote wafikiri sawa.Mods huu uzi uungwe na ule wa kwetu pazuri
[emoji116][emoji116]
Maxence MeloBattle: Kwetu Pazuri, wasaa wa kunadi na kuelezea ulikotoka, Picha ni muhimu
Wacha niutangulize mkoa wa MWANZA mbele yenu, wazawa na wenyeji njooni tuutetee mkoa wetu Picha ni muhimu [emoji3][emoji3] Nawasilisha!www.jamiiforums.com
Panavutia mnoo
Sijaona point zaid ya chuki na roho mbaya tu. Mm mzaramo na sioni tatizo nikasifia kwetuSasa wewe mbona huoni point yangu Nan kaanzisha ukabila hapo mbona watu wajinga mko wengi sana
Na wewe ukiondoa ushirikina unabakai na matako sioMchagga ukiondoa WIZI, DHULMA na UPENDELEO Hakuna chochote anakuwa Kama ndege alikatwa MABAWA. Hana UJANJA.
Tulishasdma yaishe punguza taarabu kaushaSijaona point zaid ya chuki na roho mbaya tu. Mm mzaramo na sioni tatizo nikasifia kwetu
Tarakea romboView attachment 2301056
Wachagga kwanza nyinyi Nepotism imewaharibu, pili nyinyi ni washamba kuliko makabila yote Tanzania, yaani kila siku kuanzisha mathread ya upupu tu humu, mnatafuta kiki zisizo na maana hacheni ushamba, tofauti na mlima Kilimanjaro hamna kingine cha kutalii huko kwa wanywa mbenge
Hacheni Nepotism mataka taka nyie