Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Sawa mtendaji wa kijiji upo apo kuangalia haya sio kupokea mshahara wa bure.
 
Rudini kwenu Kama pazuri.
Tutarudi mkuu tunatafuta pesa kwanza , wahudumie wazee wetu vizuri , ukitaka na nyumba ya kukaa huko bure kabsa, usiogope kutuambia mkuu, sio kila mchaga ana tamaa usikariri mkuu.
 
Tutarudi mkuu tunatafuta pesa kwanza , wahudumie wazee wetu vizuri , ukitaka na nyumba ya kukaa huko bure kabsa, usiogope kutuambia mkuu, sio kila mchaga ana tamaa usikariri mkuu.
Kwenu pazuri pana kila kitu, pesa zimejaa sasa nashangaa mnaenda kutafuta pesa sehemu za masikini
 
Kwenu pazuri pana kila kitu, pesa zimejaa sasa nashangaa mnaenda kutafuta pesa sehemu za masikini
Sjasema hivyo mkuu , tumeamua kufanya huko mahali pa kuishi ( nyumbani) na sehemu ya kutafuta ni sehemu nyingne , pia kuna wanaotafuta hukohuko wanapesa nyingi tu mbona ata wewe unajua.
 
Sjasema hivyo mkuu , tumeamua kufanya huko mahali pa kuishi ( nyumbani) na sehemu ya kutafuta ni sehemu nyingne , pia kuna wanaotafuta hukohuko wanapesa nyingi tu mbona ata wewe unajua.
Kwahiyo huku mnaishi lini?

Hizo siku 3 za Christmas?

Au siku za 3 za misiba.
 
Tukiachana na issue zingine za Kilimanjaro, nlikuwepo miaka 3 hivi nyuma huko, jamaa wana mazingira mazuri kwa kweli ukijani umetaradadi, nilitoka chuga nlikuwa naenda Rombo kupitia Marangu mtoni na ilikuwa mwezi 12 ukijani mwanzo mwisho pita maeneo ya Mwika, Mamsela hadi Kitukuni huko.

Nikipata muda nitapost picha kadhaa za huko, kunapendeza kwa kweli
 
Umenikumbusha mbali, Kitukuni, shule yangu ya msingi

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…