Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mtendaji wa kijiji upo apo kuangalia haya sio kupokea mshahara wa bure.Mchagga Yuko tayari kumtelekeza MKE, MZAZI au BIBI yake mwaka MZIMA, bila kujua ANAKULA Nini, anatibiwa Vipi au anaishi vipi.
Baadaye, December anakuja siku 5 kabla ya Christmas na KIGARI CHA KUKODI huko KIMARA.
Anamchukua Bibi yake anamleta Hospital, kwa Mbwembwe anauliza NAMHITAJI DOKTA MKUU[emoji1787][emoji1787]
So, Unajiuliza mwaka mzima huyo MZAZI wako anateseka wewe haupo unadhani Nani alikuwa ANAMSAIDIA.
Rudini kwenu Kama pazuri.Sawa mtendaji wa kijiji upo apo kuangalia haya sio kupokea mshahara wa bure.
Kama wwe yaaniPatamuuuu.
Pande za marangu hii karbu na crdbKupasifia kwenu kuna ubaya gani? Mchaga akipasifia kwai na wewe sifia kwenuView attachment 2302322
Kwenu pazuri pana kila kitu, pesa zimejaa sasa nashangaa mnaenda kutafuta pesa sehemu za masikiniTutarudi mkuu tunatafuta pesa kwanza , wahudumie wazee wetu vizuri , ukitaka na nyumba ya kukaa huko bure kabsa, usiogope kutuambia mkuu, sio kila mchaga ana tamaa usikariri mkuu.
Mwambie atuwekee picha za Moshi mjiniPanavutia
Sjasema hivyo mkuu , tumeamua kufanya huko mahali pa kuishi ( nyumbani) na sehemu ya kutafuta ni sehemu nyingne , pia kuna wanaotafuta hukohuko wanapesa nyingi tu mbona ata wewe unajua.Kwenu pazuri pana kila kitu, pesa zimejaa sasa nashangaa mnaenda kutafuta pesa sehemu za masikini
Huku ni rongai mkuu?Somewhere in tarakea kilimanjaroView attachment 2302333
Kwahiyo huku mnaishi lini?Sjasema hivyo mkuu , tumeamua kufanya huko mahali pa kuishi ( nyumbani) na sehemu ya kutafuta ni sehemu nyingne , pia kuna wanaotafuta hukohuko wanapesa nyingi tu mbona ata wewe unajua.
Tukiachana na issue zingine za Kilimanjaro, nlikuwepo miaka 3 hivi nyuma huko, jamaa wana mazingira mazuri kwa kweli ukijani umetaradadi, nilitoka chuga nlikuwa naenda Rombo kupitia Marangu mtoni na ilikuwa mwezi 12 ukijani mwanzo mwisho pita maeneo ya Mwika, Mamsela hadi Kitukuni huko.Kilimanjaro especially wilaya ya Moshi ni one among the best to hang around especially ukiwa likizo na una kibunda chako.
Pazuri sana. Na wenyeji wake ni wakarimu ukiwa mstaarabu. Na very friendly ukiwa mtu wa kujiongeza unapokuwa nao.
Si kweli kuwa wanaendekeza kupenda pesa hiyo ni tabia ta kupakazia. Me nimekaa nao. Ni miongoni mwa jamii zenye maadili mazuri tu.
Nakumbuka tulikwenda milimani kule tulikaribishwa nyama ya mbuzi, mbege, pilau matunda. Na tulipoondoka walitufungia ya kwenda nayo. Ni kijijini kwa rafiki yangu anaitwa Mushi. Walitukirimu vizuri sana hadi nikajihisi pengine me ni mzungu halafu sijui.
Ukitoa kakitu kidogo utaheshimishwa hadi basi. Nakumbuka tulienda kwenye hafla ya kukomboa mtoto ya mwenzetu. Alipotimiza masharti tukapokelewa kwa tafrija. So tulikwenda na zawadi na kutatoa pesa ya vinywaji na chakula. Walituchangamkia sana. Wadada wakawa wanatuhudumia utadhani tumetoka ukoo wa ufalme.
Kuna Mwalimu hapa anatafuta mtu wa kubadilishana kituo Cha kazi, wewe uje Kilimanjaro.Kilimanjaro ni pazuri kwakweli....
Umenikumbusha mbali, Kitukuni, shule yangu ya msingiTukiachana na issue zingine za Kilimanjaro, nlikuwepo miaka 3 hivi nyuma huko, jamaa wana mazingira mazuri kwa kweli ukijani umetaradadi, nilitoka chuga nlikuwa naenda Rombo kupitia Marangu mtoni na ilikuwa mwezi 12 ukijani mwanzo mwisho pita maeneo ya Mwika, Mamsela hadi Kitukuni huko.
Nikipata muda nitapost picha kadhaa za huko, kunapendeza kwa kweli