Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Mazingira murua
FB_IMG_16585713547045405.jpg
 
Mchagga Yuko tayari kumtelekeza MKE, MZAZI au BIBI yake mwaka MZIMA, bila kujua ANAKULA Nini, anatibiwa Vipi au anaishi vipi.

Baadaye, December anakuja siku 5 kabla ya Christmas na KIGARI CHA KUKODI huko KIMARA.

Anamchukua Bibi yake anamleta Hospital, kwa Mbwembwe anauliza NAMHITAJI DOKTA MKUU[emoji1787][emoji1787]

So, Unajiuliza mwaka mzima huyo MZAZI wako anateseka wewe haupo unadhani Nani alikuwa ANAMSAIDIA.
Sawa mtendaji wa kijiji upo apo kuangalia haya sio kupokea mshahara wa bure.
 
Rudini kwenu Kama pazuri.
Tutarudi mkuu tunatafuta pesa kwanza , wahudumie wazee wetu vizuri , ukitaka na nyumba ya kukaa huko bure kabsa, usiogope kutuambia mkuu, sio kila mchaga ana tamaa usikariri mkuu.
 
Tutarudi mkuu tunatafuta pesa kwanza , wahudumie wazee wetu vizuri , ukitaka na nyumba ya kukaa huko bure kabsa, usiogope kutuambia mkuu, sio kila mchaga ana tamaa usikariri mkuu.
Kwenu pazuri pana kila kitu, pesa zimejaa sasa nashangaa mnaenda kutafuta pesa sehemu za masikini
 
Kwenu pazuri pana kila kitu, pesa zimejaa sasa nashangaa mnaenda kutafuta pesa sehemu za masikini
Sjasema hivyo mkuu , tumeamua kufanya huko mahali pa kuishi ( nyumbani) na sehemu ya kutafuta ni sehemu nyingne , pia kuna wanaotafuta hukohuko wanapesa nyingi tu mbona ata wewe unajua.
 
Sjasema hivyo mkuu , tumeamua kufanya huko mahali pa kuishi ( nyumbani) na sehemu ya kutafuta ni sehemu nyingne , pia kuna wanaotafuta hukohuko wanapesa nyingi tu mbona ata wewe unajua.
Kwahiyo huku mnaishi lini?

Hizo siku 3 za Christmas?

Au siku za 3 za misiba.
 
Kilimanjaro especially wilaya ya Moshi ni one among the best to hang around especially ukiwa likizo na una kibunda chako.

Pazuri sana. Na wenyeji wake ni wakarimu ukiwa mstaarabu. Na very friendly ukiwa mtu wa kujiongeza unapokuwa nao.

Si kweli kuwa wanaendekeza kupenda pesa hiyo ni tabia ta kupakazia. Me nimekaa nao. Ni miongoni mwa jamii zenye maadili mazuri tu.

Nakumbuka tulikwenda milimani kule tulikaribishwa nyama ya mbuzi, mbege, pilau matunda. Na tulipoondoka walitufungia ya kwenda nayo. Ni kijijini kwa rafiki yangu anaitwa Mushi. Walitukirimu vizuri sana hadi nikajihisi pengine me ni mzungu halafu sijui.

Ukitoa kakitu kidogo utaheshimishwa hadi basi. Nakumbuka tulienda kwenye hafla ya kukomboa mtoto ya mwenzetu. Alipotimiza masharti tukapokelewa kwa tafrija. So tulikwenda na zawadi na kutatoa pesa ya vinywaji na chakula. Walituchangamkia sana. Wadada wakawa wanatuhudumia utadhani tumetoka ukoo wa ufalme.
Tukiachana na issue zingine za Kilimanjaro, nlikuwepo miaka 3 hivi nyuma huko, jamaa wana mazingira mazuri kwa kweli ukijani umetaradadi, nilitoka chuga nlikuwa naenda Rombo kupitia Marangu mtoni na ilikuwa mwezi 12 ukijani mwanzo mwisho pita maeneo ya Mwika, Mamsela hadi Kitukuni huko.

Nikipata muda nitapost picha kadhaa za huko, kunapendeza kwa kweli
 
Umenikumbusha mbali, Kitukuni, shule yangu ya msingi

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom