Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Tupia picha ya mkoani kwako tufanye utalii wa ndani

Mshaanza ujinga na ushamba kumepauka ujinga tupu

Ukabila acheni pambana na Maisha yenu bakini huko huko mtapeliane vizuri
Mkuu soma kuelewa usisome ili ujibu!!!

Mleta mada amesema yeyote aweke picha za alipo so wewe unaweza kupandisha hapa picha za ulipo ili na sisi tufanye utalii wa ndani kupitia thread hii.
 
Mchagga ukiondoa WIZI, DHULMA na UPENDELEO Hakuna chochote anakuwa Kama ndege alikatwa MABAWA. Hana UJANJA.
Umenikumbusha leo asubuhi...nimepanda panda bajaji ya mchaga mmoja na tukakubaliana bei kuwa ni 2000 kabisa...tena kulikuwa na bajaji nyingine wananigombania..

Kuja kushuka mwendo hata km 2 hazifiki kapandisha nauli na kusema 5000...kidogo tuzichape lakin baadae nikamuacha tu tena nikampa 10000..sijui anajisikiaje mpaka sasa kwa aibu akiniona...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mchagga kwenye kudhulumu Hana aibu kabisa. Tena ukiwa mnyongr atakuendesha kinoma.

Mchagga hata kuchimba kaburi la Ndugu yake mpaka alipwe pesa au apewe Pombe, ndio utegemee akuchukulie fair wewe Chasaka
 
Umenikumbusha leo asubuhi...nimepanda panda bajaji ya mchaga mmoja na tukakubaliana bei kuwa ni 2000 kabisa...tena kulikuwa na bajaji nyingine wananigombania..

Kuja kushuka mwendo hata km 2 hazifiki kapandisha nauli na kusema 5000...kidogo tuzichape lakin baadae nikamuacha tu tena nikampa 10000..sijui anajisikiaje mpaka sasa kwa aibu akiniona...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Issue ni mandhari nzuri, utapeli upo dunia nzima.
 
Mchagga kwenye kudhulumu Hana aibu kabisa. Tena ukiwa mnyongr atakuendesha kinoma.

Mchagga hata kuchimba kaburi la Ndugu yake mpaka alipwe pesa au apewe Pombe, ndio utegemee akuchukulie fair wewe
Sio wote mkuu kuna wakarimu na wenye upendo wakwel
 
Issue ni mandhari nzuri, utapeli upo dunia nzima.
Hakuna mandhari nzuri uchaggani. Mkoa umejaa TOPE, MIINUKO, MQBONDE na VUMBI JEKUNDUUU.

Ni maeneo machache sana Yana unyevu na baridi unaofanya majani kuwa kijani nyakati fulani za mwaka.
 
Mkuu haya majitu Yana KELELE kinoma ila tangu nimekuja huku nikagundua hamna kitu, nayanyoosha kweli.
Acha makasiriko mkuu fanya Kwa ufanisi Kwa kilichokuleta , pia kama unapicha za maeneo yakwanu so mbaya ukaztupia tufanye utalii, ikibidi tuende jfunza ya huko
 
Yes, Hakuna sehemu nyingine yoyoye utaita Ni MJINI zaidi ya hapo Moshi.
Sijakataa ila hizo ni baadhi ya picha kutoka vijiji vya machame marangu,kibosho ,uru oldmosh, kilema,na rombo .
 
Kuna kitu kibaya wachaga walikufanya..sio bure...pole sana dunia haijawahi kuwa fair.

#MaendeleoHayanaChama
Ndo nilikuwa nakutafuta kenge wewe nilijua utashoboka tu sasa hapo kuna nn cha maana naona vumbi na vichaka vya nyoka

Kuishi dar na huko wapi kuzuri kenge wewe wangekuw wengi huko usingewaona huku mikoani
 
Wachaga na wahaya huwa wanajionaga unique sana kama Tanzanite! Ndio maana waliisoma namba! Saivi wanaanza kuibuka kidogo kidogo.
 
Kilimanjaro especially wilaya ya Moshi ni one among the best to hang around especially ukiwa likizo na una kibunda chako.

Pazuri sana. Na wenyeji wake ni wakarimu ukiwa mstaarabu. Na very friendly ukiwa mtu wa kujiongeza unapokuwa nao.

Si kweli kuwa wanaendekeza kupenda pesa hiyo ni tabia ta kupakazia. Me nimekaa nao. Ni miongoni mwa jamii zenye maadili mazuri tu.

Nakumbuka tulikwenda milimani kule tulikaribishwa nyama ya mbuzi, mbege, pilau matunda. Na tulipoondoka walitufungia ya kwenda nayo. Ni kijijini kwa rafiki yangu anaitwa Mushi. Walitukirimu vizuri sana hadi nikajihisi pengine me ni mzungu halafu sijui.

Ukitoa kakitu kidogo utaheshimishwa hadi basi. Nakumbuka tulienda kwenye hafla ya kukomboa mtoto ya mwenzetu. Alipotimiza masharti tukapokelewa kwa tafrija. So tulikwenda na zawadi na kutatoa pesa ya vinywaji na chakula. Walituchangamkia sana. Wadada wakawa wanatuhudumia utadhani tumetoka ukoo wa ufalme.
 
Back
Top Bottom