dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
๐ ๐ ๐ ๐ ๐Hayo manyasi mbona ya kijani kijani isiyo eleweka eleweka๐ค
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐ ๐ ๐ ๐ ๐Hayo manyasi mbona ya kijani kijani isiyo eleweka eleweka๐ค
Hii picha nilipiga wiki kama tatu hivi nyuma , ni kweli barafu imepungua mnoNi sahihi. Tukiwa wadogo kulikuwa na barafu mlima wote. Sasa hamna kitu kabisa.
๐ ๐ ๐Sijui kwa nini siku hizi naona kama Zanzibar nchi nyingine!!
Zile corners zinachukua urefu wa 27kms, kama siku hiyo ulikuwa na hofu basi naimani mpaka unafika chini ulikuwa hoi sana๐Hahaaaaa, siku ya kwanza kupita hapo kidogo nife kwa pressure. Nilikaa seat ya nyuma kwenye Capricorn natokea Njombe. Yule Dereva Mwarabu akawa analitungua tu kushuka huo mlima hizo kona. Mpaka tunaumaliza huo mlima na hizo kona nipo Hoi.
Jangwani ๐๐
We sikia tu kwa watu mkuu. Sasa nimezoea ila kuna siku nyingine nasafiri kwenye basi naenda Arusha kuna jamaa nadhani naye ilikuwa mara yake ya kwanza kupita ile njia. Alipiga "ukunga we derevaaaaaaa nenda taratibu utatuuaaaaaaaa" watu tukamshangaa. Jamaa alikuwa nyuma akaja mbele anahema na kutota Jason kweli. Tukamuuliza, nini shida. Anacheka tu.Zile corners zinachukua urefu wa 27kms, kama siku hiyo ulikuwa na hofu basi naimani mpaka unafika chini ulikuwa hoi sana๐
Kwa mara ya kwanza kupita nilikuwa natokea Arusha kuja Iringa na private car na mwenzangu ndio alikuwa ana drive. Sikuwa na hofu bali nilienjoy ile view sana.We sikia tu kwa watu mkuu. Sasa nimezoea ila kuna siku nyingine nasafiri kwenye basi naenda Arusha kuna jamaa nadhani naye ilikuwa mara yake ya kwanza kupita ile njia. Alipiga "ukunga we derevaaaaaaa nenda taratibu utatuuaaaaaaaa" watu tukamshangaa. Jamaa alikuwa nyuma akaja mbele anahema na kutota Jason kweli. Tukamuuliza, nini shida. Anacheka tu.
Kupanda hapatishi mkuu. Mtihani wakati wa kushuka alafu ukae siti ya mwisho. Ndio maji utaita mma.Kwa mara ya kwanza kupita nilikuwa natokea Arusha kuja Iringa na private car na mwenzangu ndio alikuwa ana drive. Sikuwa na hofu bali nilienjoy ile view sana.
Kabsa mkuuOMBI:
Mnapotuma picha humu tafadhali naomba muandike majina ya mahali husika.
mkuu hapa ni wapi?