Tupia picha zinazoonesha uzuri wa nchi yetu ya ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Ni sahihi. Tukiwa wadogo kulikuwa na barafu mlima wote. Sasa hamna kitu kabisa.
Hii picha nilipiga wiki kama tatu hivi nyuma , ni kweli barafu imepungua mno
Screenshot_20231209-155001_Gallery.jpg
 
Hahaaaaa, siku ya kwanza kupita hapo kidogo nife kwa pressure. Nilikaa seat ya nyuma kwenye Capricorn natokea Njombe. Yule Dereva Mwarabu akawa analitungua tu kushuka huo mlima hizo kona. Mpaka tunaumaliza huo mlima na hizo kona nipo Hoi.
Zile corners zinachukua urefu wa 27kms, kama siku hiyo ulikuwa na hofu basi naimani mpaka unafika chini ulikuwa hoi sana๐Ÿ˜„
 
We sikia tu kwa watu mkuu. Sasa nimezoea ila kuna siku nyingine nasafiri kwenye basi naenda Arusha kuna jamaa nadhani naye ilikuwa mara yake ya kwanza kupita ile njia. Alipiga "ukunga we derevaaaaaaa nenda taratibu utatuuaaaaaaaa" watu tukamshangaa. Jamaa alikuwa nyuma akaja mbele anahema na kutota Jason kweli. Tukamuuliza, nini shida. Anacheka tu.
 
Kwa mara ya kwanza kupita nilikuwa natokea Arusha kuja Iringa na private car na mwenzangu ndio alikuwa ana drive. Sikuwa na hofu bali nilienjoy ile view sana.
 
Back
Top Bottom