Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa, siku ya kwanza kupita hapo kidogo nife kwa pressure. Nilikaa seat ya nyuma kwenye Capricorn natokea Njombe. Yule Dereva Mwarabu akawa analitungua tu kushuka huo mlima hizo kona. Mpaka tunaumaliza huo mlima na hizo kona nipo Hoi.
Kwamba wapi nimeandika kona ya kitonga. Bado una hang over mkuu.Kwamba unaogopa kona za Kitonga?
Kwamba wapi nimeandika kona ya kitonga. Bado una hang over mkuu.
Kili Haina Tena Barafu Kama Miaka Ya ZamaniKilimanjaro inazidi kuwa "kipara"
Idadi ya watu inaongezeka mkuu, shughuli za kilimo zinamaliza maporiKili Haina Tena Barafu Kama Miaka Ya Zamani
Kibaya Serikali Inatumia Pictures Za Zamani Mno
OMBI:
MkuuWe jamaa kule kwenye battle yetu sikuoni siku hizi 🤣🤣🤣🤣
SawaOMBI:
Mnapotuma picha humu tafadhali naomba muandike majina ya mahali husika.
Nilikuwa nataka nianze kuuliza hivi uzuri wa hii nchi ni mapori tu na wanyama ndio nikaziona hizi 📸 🔥🔥🔥😄
Ni sahihi. Tukiwa wadogo kulikuwa na barafu mlima wote. Sasa hamna kitu kabisa.Kili Haina Tena Barafu Kama Miaka Ya Zamani
Kibaya Serikali Inatumia Pictures Za Zamani Mno
Sawa Mkuu, hii ni Arusha…..OMBI:
Mnapotuma picha humu tafadhali naomba muandike majina ya mahali husika.
Nina hasira najua leo Waydad anatufanya vibaya so kila comment nahisi mnanipigia kelele. Pole.bro, sikuelewa comment yako.🙏🙏🙏🙏🙏🙏Mbona una hasira hivyo mzee?
Huoni kama hilo ni swali kutokea kwenye comment yenye kuhusianisha kona za Nyong'oro na Kitonga? ambapo wewe na huyo jamaa mwingine mlikuwa mnaelekezana...
Zanzibar.Wapi hapa kama ulaya