kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Wale wenye dini na wasio na dini wenye vyama na wasio na vyama, ni vyema sasa nchi ikaungana tupate katiba mpya itakayotuondolea haya mauza ya nchi kuendeshwa sijui na maaskofu maana yalikuwa yanasemwa kwa siri na walinyooshewa vidole muda mrefu kuwa ndio wanaiongoza nchi lakini wengi walikataa.
Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.
Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba
VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.
Hatimaye sasa hadharani wamejitokeza kutaka kuipangia nchi maana ile misamaha ya kodi itakuwa haipo tena.
Dawa ya kuondoa upuuzi huo dawa ni katiba
VIVA KATIBA MPYA
TUPIGE VITA UDINI.