The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Tatizo la tamko la TEC ni nini hasa?
Kwa vile ni maaskofu wa kikatoliki? Mbona pointi zao ziko wazi na zinaeleweka?
Na kuna ugumu gani kubadili vipengele vinavyopigiwa makelele na wananchi na mkataba ukaendelea?
Kwani wao TEC wanataka kubadili vipengele?wao wako so openly hawataki mwarabu...
Ingekuwa vipengele wasingetoa tamko baada ya hukumu ya mahakama...
Hukumu ya mahakama iko so openly kuwa kasoro zote ndogo zinarekebishika Kwa mkataba mahususi... HGA...na sio IGA
Maaskofu wanakuja na waraka wa kupinga IGA tena baada ya hukumu